Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,367
- 9,479
Tajiri Sina BAYA ukaona ukinitag nitafaidi jamaa 😎
Dah sorry mkuu wadau ni wengi, kwahiyo nilikuwa nawatag wote ghafla ikaingia simu ya Davido, nilipomaliza kuongea nae nikasahau kila kitu maana hela yangu ameididimiza kizembe sana yule mpumbavu.Tajiri Sina BAYA ukaona ukinitag nitafaidi jamaa 😎
Mwekee mtego uilombe kwenye mazingira ya ambayo hajajiandaa... 😀😁😁😁 ✅️
Samahan mkuu rafiki yako deo jina lake maarufu ni davidoDah sorry mkuu wadau ni wengi, kwahiyo nilikuwa nawatag wote ghafla ikaingia simu ya Davido, nilipomaliza kuongea nae nikasahau kila kitu maana hela yangu ameididimiza kizembe sana yule mpumbavu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu napaliwa huku!Mwekee mtego uilombe kwenye mazingira ya ambayo hajajiandaa... 😀
No ni Davido huyu wa Nigeria kuna mchongo mdogo nilimpa wa kama dola la laki moja tu, sasa ananiambia ameipoteza program ambayo ndiyo ilikuwa na kazi yenyewe.Samahan mkuu rafiki yako deo jina lake maarufu ni davido
Ni kesho mkuu, ila huku mbele nitailipua tu kwa kikata baadhi ya matukio maana nakuwa kama nipo jela, yaani sipo huru muda mwingi kwaajili ya kuandika.Mkuu story Inaendelea usiku huu nitafute mtu wa kusoma naye maana inaonekana kituo kinachofata sio poa
Wakina hanifa wakiiona hii post na wakajua kama official Kim ndiyo kaandika lazma watume wajumbe elf kumi kuomba msamahaNo ni Davido huyu wa Nigeria kuna mchongo mdogo nilimpa wa kama dola la moja tu, sasa ananiambia ameipoteza program ambayo ndiyo ilikuwa na kazi yenyewe.
😁😁😁 Kwa sasa mimi sio levo zao labda kulisha samaki wangu wa mapambo.Wakina hanifa wakiiona hii post na wakajua kama official Kim ndiyo kaandika lazma watume wajumbe elf kumi kuomba msamaha
🤣Daah😁😁😁 Kwa sasa mimi sio levo zao labda kulisha samaki wangu wa mapambo.
hapo kwa Davido nilikosea kuandika, sio dola moja ni dola laki moja.
Eeenh na sahivi dau limepanda neno moja sh 100Unataka uendelee kumpiga hela mkuu?
Sema nipo hapa shusha vitu MkuuDah sorry mkuu wadau ni wengi, kwahiyo nilikuwa nawatag wote ghafla ikaingia simu ya Davido, nilipomaliza kuongea nae nikasahau kila kitu maana hela yangu ameididimiza kizembe sana yule mpumbavu.
😂😂🤣🤣🤣 Mmekubaliana au unaamua kupanga mfumuko wa bei?Eeenh na sahivi dau limepanda neno moja sh 100
Pamoja mkuuSema nipo hapa shusha vitu Mkuu
Haha atakuja kujua mbele ya safari😂😂🤣🤣🤣 Mmekubaliana au unaamua kupanga mfumuko wa bei?
👍👍Hatari sana