cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,816
- 189,273
Rhabhekhaaaa
Rhabhekhaaaa
😂😂😂 na siku nikidakwa jf itoe walau wakili mmoja kama muwakilishi wa jf na Tz kwa ujumla ambae ataungana na mawakili wangu kutoka Taiwan 🇹🇼😂😂😂. Hana baya tajiri.
Siku akileta kisa cha chioma wa tandahimba tushituane wadau. 😂😂😂😂
Karibu japo nimekushtua muda wa kutoa vyombo.Rhabhekhaaaa
Nimekisoma Jana dear 😂😂😂 hanifa kanichekesha sana, sio kwa kupandisha mapepo ili atengeneze mazingira ya kuliwa.Ya Hanifa umeshaisoma?
Aiseeeh story yako nzuri sana, nimefarijika kuisoma.Karibu japo nimekushtua muda wa kutoa vyombo.
Huyu tajiri mtu wa maana kabisa, apewe ulinzi😁😁😁Nimekisoma Jana dear 😂😂😂 hanifa kanichekesha sana, sio kwa kupandisha mapepo ili atengeneze mazingira ya kuliwa.
Na tajiri asivyo na baya, akavunja sheria walizoweka wenyewe😂😂😂😂
AsanteAiseeeh story yako nzuri sana, nimefarijika kuisoma.
🙏🙏Asante
😆😂😂😂 Asante, naona wewe na red black ni dam dam mambo yenu bambam.
Pamoja mkuuTajiri huna baya
Siwezi kumsahau mwajiri wangu 😂😂😂😂😂 Asante, naona wewe na red black ni dam dam mambo yenu bambam.
Niko powa kabisaa, vipi wewe?sawa Lamama...uko poa lkn?
🙏🙏🙏Tajiri huna baya 😀
😄😄😄 👏👏👏Siwezi kumsahau mwajiri wangu 😂😂
Fresh tu,Niko powa kabisaa, vipi wewe?
🙏🙏 😂 nikipewa wakili mmoja tu anatosha, mkinipa walinzi wa kibongo wataharibu mpangilio wa kiulinzi wa walinzi wangu kutoka japani.Huyu tajiri mtu wa maana kabisa, apewe ulinzi😁😁😁
Vizuri sana, kazi imeisha fanya jambo letu sasaFresh tu,
🤣🤣🤣🤣🤣Vizuri sana, kazi imeisha fanya jambo letu sasa