Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
- Thread starter
- #441
Kwahiyo ndiyo ulitaka kusemaje mkuu?Bara la giza ndio maana ni shida tupu. Yaani mtu kula taabu ana tafuta mwanamke mbali na hata hajamuona na kupotezana muda na tamthilia za kitoto.
Grow up