Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Niliwahi kuingia kwenye ndoa mara moja lakini niliingia na mwanamke ambae alinipendeza machoni tu sio moyoni, nilimwonesha dalili zote za kumpenda niliishi nae kwa kadili nilivyoona mimi kwamba nipo sahihi katika maisha ya ndoa tulipata na mtoto lakini mwisho Alitombesha akiwa na mtoto mchanga kabisa. (Siku nikilewa nitasimulia hiki kisa mwanzo mwisho
Lewa hata leo jioni tajiri utuletee madini😁😁😁,
maana yote aliyoyasema yalitimia (kasoro la kukutana kimwili tu) h
Hii kitu mpaka leo bdo kinauuma 😆😆😆 ni sawa umefanya mengi, umemchekesha umefuga ndege asiyeonekana umemfta mpaka Newala lakini tunda ukakosa.
 
Hakika Tajiri huna baya😃😃😃, Hongera kwa uandishi lakini hata kama ni kisa cha kweli umekifanya kiwe exciting🫡🫡
Asante mkuu.
Sina ujuzi sana wa uandishi lakini kuna kipindi nilikuwa naandika simulizi (za kutunga) Facebook, aaa nilikuwa nahama na kijiji.
Sema sikuhizi sijifunzi tena, sijuwi ni nini kinaendelea katika dunia ya uandishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom