Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Ila tajiri 😁😁😁
Pole sana kwa yalikukuta kwa Laima
Asante mkuu, japo kuna muda huwa nawaza pengine alitumwa na shetani kuiharibu saikolojia yangu mapema ili nije kuishi kama Mafia wa mahusiano, kwa sasa mtu nikimwona analia na mapenzi hata kama ana umri wa baba yangu namwona ni mtoto tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom