Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Tajiri hujapendwa vizuri ndo maana una vinyongo na kina Laima😁, ukifinyiwa kwa ndani utabadili msimamo,ukiachana na hivyo Mapenzi ndo sehemu pekee nchini ambapo ukichelewa kufika unasifiwa
Sawa mkuu mkuu, ndiyo maana nimesema 'kwa sasa' sijayafunga maneno kwasababu najua tunabadilika.
 
Tajiri huna baya. Hongera sana NA asante kwa kutuburudisha bila malipo.
Nimependa jinsi ambavyo hujayumbishwa na wasomaji. Wapo walokwambia chai, lakini hukuyumba. Wapo walotaka kuona unamla laima wetu wa newala lakini ulisimama katika uhalisia wa kisa chako bila kujimwambafai.
Bravo.
 
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom