Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

mwaka wa 10 sijawai shika hata chupa yake,
ukiamua unaweza,, nikikaa na wanangu naagiza Bavaria 0.0% alcohol
 
Pole sana mkuu, hatujuani tu ila tungekuwa tunajuana weekend tungetafuta bar moja tunyweeee huku tunawaza na kujadili ni jinsi gani tutaachana na pombe.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo

Chunguza company yako. Utapata majibu
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Chapombe
 
Unaenda kufa ndugu. Kuacha pombe ni hiari ya moyo tu. Ila kumbe inaweza kuwa ngumu eeeh? Mbona najaribu kuacha pombe ile aina nyingine ya chini inashindikana?
 
Pombe mara nyingi huchochea hamu ya kujamiiana.
Lakini ulevi ukipita kipimo unapunguza nguvu za kiume hasa Pombe kali na inapunguza sperm. Pia ukinywa nyingi kwa mara moja unazima unalala hufanyi tendo, ikijirudia hivyo siku nyingi mwenzio atakukimbia au atatafuta mwingine.
Kwa mwanamke akizima basi mumewe ataweza kumpitia hivyo hivyo ila itakuwa sawa na ubakaji.
Bado hujanishawishii kwa kweli.
 
Hizi sio stori. Nimambo yaliyothibitishwa kisayansi pia. Huwezi kua mlevi uliepitiliza na ukawa na interest na sex, hiyo kitu haiwezekani. Kama mtu yuko tayari kuacha mwanamke ila sio pombe unaweza kuona ni kitu gani kina thamani kwake.

Ama umesahau ulevi uliopitiliza wa wanaume wa Rombo umepelekea kushuka kwa uzao wa watoto Rombo na pia kupelekea wanawake wa Rombo kukodisha wanaume kutoka Kenya baada ya wanaume zao wa Tanzania kushindwa kuwahudumia kingono kwa sababu ya ulevi? Kama walevi wanamudu ngono hawa wanawake wa Rombo walikodisha wanaume wa nini?
Uongoooo.
 
Kama unalewa Hadi unasahau simu Chinga sana hilo tundu narudia Tena chunga sana!
20240817_155835.jpg
 
Back
Top Bottom