Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,806
- 152,940
Muhammad Ali alisema kuwa kusema kitu ambacho unakifanya kweli si ku brag, ni kusema ukweli tu 😂😂😂.Nani ana weza ku brag hii design, bila ku exaggerate😂😂🔥.
Nimejibu swali tu.
Muhammad Ali alisema kuwa kusema kitu ambacho unakifanya kweli si ku brag, ni kusema ukweli tu 😂😂😂.Nani ana weza ku brag hii design, bila ku exaggerate😂😂🔥.
Nimepitia the entire electromagnetic wave spectrum.hapa kweli uli jishitukia mapema, maana u monk na popping up in violence ni mbali mbali.
Halafu Dunia Inge kuwa pweke, nawaza violence action tunge zionea wapi?
Hahaaa,Kuna siku tuli kuwa sehemu kwenye tafrija, nilipo onekana sinywi Kuna mtu ali weka 1m ili nipige funda 1 tu.
Nika mwambia hiyo hela akatumie kuotesha nywele, maana ana kipara kisicho na unywele Kama sinia la chuma.
Ntaunda jopo zito ntaongoza Mimi na min_me, mshana jr, paschal mayalla, monetary doctor na wadau mbali mbali tunao piga mvinyo kwa staha na tunafanya mambo mazuri bila kuathiriwa na pombeMkuu siku ukiacha tena pombe utakuwa fala sana.....jitahidi ujicontrol kuwa na kiasi na vipaumbele vyako vianze kwanza kisha pombe ndio ufuate.
#Pombe ni maisha
RAIS wetu wa ma jobless pro max 🤣 lazima angechukua kibunda.Hahaaa,
Ujue una kiburi fulani kisichoyumbishwa na pesa ndogo.
Vipi angeweka 1 billion hapo?
Nifuraha kuona wadau wa maji matamu wakiunga mkono hojaa.Hongera kwa kurudia maji matamuu
Hahaha,Hahaaa,
Ujue una kiburi fulani kisichoyumbishwa na pesa ndogo.
Vipi angeweka 1 billion hapo?
Ukiacha pombe usije kusema ngoja nijaribu kidogo,ile kidogo huwa inakuwa tamu sana,matokeo yake unajikuta umerudi tena mazima,ukiamua kuacha acha kabisa...Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Ukipiga konyagi ikiwa upo HIGH sijawai ona show mbovu.Hivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.
Roadlofa watakua hawajui nguvu ya spirit kwenye kusakata lumba.hawaijui nguvu ya kvant au konyagi kwenye tendo hao
Nakumbuka nili wahi kukutana na Jamaa mmoja ali kuwa ana penda kuosha sahani nyeupe,Ninepitia the entire electromagnetic wave spectrum.
Kwenye u monk huko unafanya violence against violence kwa mindfulness mwditation.
Yani unachunga mawazo yako against violence, si kwa watu tu, bali hata kwa sisimizi, wazo la violence likiibuka tu unalikamata na kulijua hili wazo la violence nalitoa mawazoni.
Hahaha,Muhammad Ali alisema kuwa kusema kitu ambacho unakifanya kweli si ku brag, ni kusema ukweli tu 😂😂😂.
Nimejibu swali tu.
kwanini unang'ang'ana kuacha ugimbi mkuu? hujui unawavurugia tra projections zao?Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana
Mkuu angalia usipigwe miti na wahuni.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Ukipiga konyagi ikiwa upo HIGH sijawai ona show mbovu.
😁Hapa inabidi kumwita Chizi Maarifa aje atoe neno maana Juzi Kati katuwekea list ya staili za kusakata mbususu/ papuchi Tena kwa msululu MREFU.
Mi nmekula sana wake walevi. Sana si kidogo.Hivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.
1.Me nimeacha pombe nina miaka 3 ila haikua rahisi kabisa kuna kitu kinaitwa RELAPSE ni noma..cha kwanza kabisa mshirikishe mungu wako mana hapo unapambana na roho...asikudanganye mtu utaoenda kuombewa utaacha pombe NO,anza na moyo wako..Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Fanya hivi. Epuka kukaa na makundi ya walevi.Wakuu habari za mda huu