Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,015
- 153,751
Mimi nina kiburi cha kusema naweza kuishinda pombe, pombe haiwezi kunishinda mimi.Ngumu kuona kwenye fridge una wine na beer na other spirit alafu still unaweza kuendelea na mfungo wa kuto kunywa eg. Una alikwa kwa mtu/ ama tafrija na watu/wadau wanywaji alafu wewe unakunywa maji,juice ama soda ni ujasiri sanaa.
Sio nyumbani tu, kwenye parties, restaurants etc.