Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,697
- 32,275
Weeee apia? Wewe ni mlevi unajitetea?Uongooo.

HUKUACHA. ULIPUMZIKA SABABU ULIKUWA MAJALALA. UNGEACHA USINGERUDIA.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Wee em sema kweli?!Weeee apia? Wewe ni mlevi unajitetea?
Yupii huyo muoga sana? 😂😂😂😂Muoga Sana sanaa
Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Pole sanaWakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Baadhi ya Sober house....Sober house ndio mkombozi wako
AiseBaadhi ya Sober house....
Nyingine zinachochea tatizo ili waendelee kupiga hela...
Pombe sio chai!
Tafuta kitu kingine cha kufanya km Pombe, mfano nitakupa mtu yoyote anaepiga nyeto akianza kutomba malaya na akawa na uhakika wa kutosha wa kutombana na malaya yoyote anaemtaka kila anapohitaji yeye, mtu huyu anaacha mara moja kupiga nyeto basi malaya waheshimiwe popote walipo wanaokoa majanga mengi sana yanayowasibu watu, huo nimekupa mfano hai sio mfano mfuWakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Usiache pombe ,pombe haina tatizo. Tatizo ni kubwa aidha anakunywa pekee yako au anakunywa na watu wasio sahihi. Kama unakunywa mpaka unapoteza simu jua kuna hayo mawili hapo juu unafanya. Ukisharekebisha haya mambo ndio utajua unapokosea.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Unazungumzia pombe zisizo na ubora, kama za huko rombo na kaskazini yote, na kuna k-vant zile ukinywa zinakata chini hapo hapo, tofauti na zenye viwango wewe kwanza zinaongeza staminaHizi sio stori. Nimambo yaliyothibitishwa kisayansi pia. Huwezi kua mlevi uliepitiliza na ukawa na interest na sex, hiyo kitu haiwezekani. Kama mtu yuko tayari kuacha mwanamke ila sio pombe unaweza kuona ni kitu gani kina thamani kwake.
Ama umesahau ulevi uliopitiliza wa wanaume wa Rombo umepelekea kushuka kwa uzao wa watoto Rombo na pia kupelekea wanawake wa Rombo kukodisha wanaume kutoka Kenya baada ya wanaume zao wa Tanzania kushindwa kuwahudumia kingono kwa sababu ya ulevi? Kama walevi wanamudu ngono hawa wanawake wa Rombo walikodisha wanaume wa nini?