Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,383
Ukitaka ufanikiwe kuacha pombe hakikisha haukai karibu na wanawakeWakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo