Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,957
- 1,431
Wewe huwezi acha....Napendelea sana safari na konyagi
Wewe huwezi acha....Napendelea sana safari na konyagi
Hii hata ukiwa hujanywa inatokea tu.Nilikoswa kugongwa na gari
"Maktaba sauti" sio...Install app ya Makatba sauti playstore kisha Soma kitabu Ifahamu Pombe. Kitakusaidia. Jaribu hobi kama kwenda kwenye draft, kahawa, kucheki mpira jioni, gardening nk nk. Pombe ikikukataa ni mateso makubwa.
Mh, wewe bibie umo tu kwenye mazagamuano! By the way mshikaji atakuwa hana nguvu kisha msala akampelekea pombe! Pombe plus Ngono plus Pafu lolote (bangi, sigara,unga n.k) =Bonge moja la VibeSijawahi amini hiki ktu kabisa.
Kwa kweli.Mh, wewe bibie umo tu kwenye mazagamuano! By the way mshikaji atakuwa hana nguvu kisha msala akampelekea pombe! Pombe plus Ngono plus Pafu lolote (bangi, sigara,unga n.k) =Bonge moja la Vibe
Ushauri mzuri, ila maamuzi yako juu yako.Hapana sipo bar Niko home tunaongea apa ananishauri niache pombe pia
Aaah! 😤😄Pole sana mkuu, hatujuani tu ila tungekuwa tunajuana weekend tungetafuta bar moja tunyweeee huku tunawaza na kujadili ni jinsi gani tutaachana na pombe.
Pole mkuu,hukupata kitu mmbadala ya pombe kama vile Kwenda kwenye ibada, mazoezi ,kusoma,vitabu,kujishughulisha na vibustani nk!Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Duuh poleee sana.Huwa naacha kwa mda narudia Tena ila sipendi nahisi Kuna kitu tu kinanisukuma
😀 unataka umuagizie mkuu?!😔😔😔 pole bro.
Ila hujarogwa.
Jitahidi tu kuicontrol.
Kama uliweza kwa mwaka 1. ipo siku utaacha tena kwa miaka 2, na baadae utaweza miaka 5 na baadae utaacha kabisa.
Bia gan unatumia?
Mimi niliacha mwaka jana mwezi wa sita ila kuna siku nilikunywa.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Hizi sio stori. Nimambo yaliyothibitishwa kisayansi pia. Huwezi kua mlevi uliepitiliza na ukawa na interest na sex, hiyo kitu haiwezekani. Kama mtu yuko tayari kuacha mwanamke ila sio pombe unaweza kuona ni kitu gani kina thamani kwake.Hivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.
Halafu mchango wake wahuni wanachukua kutesea watu kuuwa watu kuteka kulawitiEndelea tu kunywa mkuu, wewe unachangia pato la taifa vizuri sana.