Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

Kuacha pombe si rahisi, labda kupunguza au kupumzika kwa muda. Angali upo hai suala la mtu kusema ameacha pombe ni kujidanganya tu.
 
Hivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.
Pombe mara nyingi huchochea hamu ya kujamiiana.
Lakini ulevi ukipita kipimo unapunguza nguvu za kiume hasa Pombe kali na inapunguza sperm. Pia ukinywa nyingi kwa mara moja unazima unalala hufanyi tendo, ikijirudia hivyo siku nyingi mwenzio atakukimbia au atatafuta mwingine.
Kwa mwanamke akizima basi mumewe ataweza kumpitia hivyo hivyo ila itakuwa sawa na ubakaji.
 
Changanya Konyag ndogo na castle lite.

Mm natumia hii toka 2014 hiv.
Ingawa unakunywa nying ila unaamka poa asubuh. Ina nipa vibe tu.
Nikipiga castle lite zangu 7-10 nakaa poa kabisa.
Castle lite 10,una tumbo la namna gani mkuu?
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
unatumia pombe gani mkuu nataka nikupe simple therapy ya kuacha
 
Pombe2.jpg
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Ukiacha pombe haraka haraka lazima utairudia tu. Wewe endelea kunywa tu mpaka pale watakapo kukula kiboga ndio uache. Na ukishaliwa tu ninakuhakikishia pombe utaisahau kabisa.
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Yale yale
e yangu
 
Hauko peke Yako mkuu, endelea kujitahidi.
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Safi sana,
 
Wakuu habari za mda huu Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo Najichukia nilivyo
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Je wewe ni nani?
 
Back
Top Bottom