Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
ukipata ujumbe huu naomba unitafute naweza kuwa msaada kwako maana unaonyesha kujutia hiyo hali na unatamani kuacha, ni ngumu lakini ni rahisi kama umeamua kuacha. Nitafute 0717 551211 na 0767 551211
 
uraibu wowote ule unaushinda wewe binafsi na kuamua kwako tu,..... mpumbavu pekee ndio hushindwa kuishinda tamaa yake,........huwa nashangaa sana watu wanasema natamani sana kuacha kunywa au kula kitu fulani maana vina madhara fulani, lakini kuacha nashindwa, huko ni kujiendekeza kwako tu,....
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Unataka kuacha pombe
 
Alcohol free since January 1 2024.
Ngumu kuona kwenye fridge una wine na beer na other spirit alafu still unaweza kuendelea na mfungo wa kuto kunywa eg. Una alikwa kwa mtu/ ama tafrija na watu/wadau wanywaji alafu wewe unakunywa maji,juice ama soda ni ujasiri sanaa.
 
uraibu wowote ule unaushinda wewe binafsi na kuamua kwako tu,..... mpumbavu pekee ndio hushindwa kuishinda tamaa yake,........huwa nashangaa sana watu wanasema natamani sana kuacha kunywa au kula kitu fulani maana vina madhara fulani, lakini kuacha nashindwa, huko ni kujiendekeza kwako tu,....
Pombe sio kwa watu woteeee.

Mimi nakunywaga for recreational purposes Tena jioni baada ya kazi huwa na kunywa konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa

Na siongezi chochote baada ya hapo nimeweza ku maintain ivyo miaka Sanaa

min -me
 
uko sahihi mkuu,..... kama ningekuwa na mentality waliyonayo hawa wavivu, huenda leo ningekuwa mlevi wa kutupwa na mvuta sigara na bangi hatari, bila kusahau maenergy drinks, pepsi....lakini hivyo vyote niliamua tu kuwa naacha kutumia na nikaacha yapata miaka mingi sasa,.....kikubwa ni kuangalia FAIDA na HASARA ..then unachagua mwenyewe upande ukufaao,...
 
Kuna watu akianza kunywa pombe yaani hashauriki yaan anakunywa mpaka anapoteza network mtu mpaka ana sahau mlango anataka kupitia kwenye ukuta.
 
Nenda kaombewe na uanze Kuomba Mwenyewe....!

Yes Ulevi ni Spirit, Spirit inaishi kwenye Ulimwengu wa Roho, wewe unataka kujisaidia Kwa kutumia Akili Yako hutaweza.

Ni ama wewe mwenyewe uingie kwenye Ulimwengu wa Roho kupambana na hiyo Spirit ikuachilie, lah! Omba msaada Kwa Watu wanaoingia kwenye Ulimwengu wa Roho wakusaidie, na katika hili Pastors ni Uchaguzi Mzuri kuliko Waganga wa kienyeji.
 
Kuna watu akianza kunywa pombe yaani hashauriki yaan anakunywa mpaka anapoteza network mtu mpaka ana sahau mlango anataka kupitia kwenye ukuta.
hawa ndo ninaosema wanajiendekeza,..na ni WAPUMBAVU hakika,.....ukiwa TIMAMU na mwenye kujua madhara ya ulaji na unywaji mbaya, ni lazima uwe na uwezo wa ku-control ulaji wako na unywaji pia,......unakuta mtu amenenepeana kwa kula hovyo kama nguruwe, kutembea kidogo tu anahema utadhani ananyongwa,..

mtu analewa mpaka anajinyea, anapoteza mali, analawitiwa kisa pombe kiasi haimtoshi na kuacha hawezi,... seriously? 😳🤔

mtu yuko tayari aue figo zake makusudi kwa maenergy drinks na masoda matatu matatu kwa siku,....
 
Congratulations hommie,

Mimi toka nizaliwe sija wahi kutumia pombe, sigara, au bangi aisee.
Jambo la muda tu ndugu yangu Mimi mpaka namaliza chuo kikuu sikuwai kunywa na nilikuaga na nadhiri ya kuto kuja kunywa in my lifetime.

Nini kilitokea Kuna dhuluba za Maisha zilinikumba nikawaga kama RICH MAVOKO_SILALI 🥺 Kuna wimbo wake unaweza kupata muda ukausikiliza MBONA SILALI🤓

Nikanunuaga konyagi kubwa fungia ndani CHUMBANI kabatini nikawa napiga vizibo viwili napata USINGIZI ndipo nikaanza kunywa kiasi.

Mimi watu wote hawajuagi kua sometimes huwa nafanya recreational ya kunywa kinywaji changamshi

Siungi mkono ulevi na walevi na alcohol abused siku zoteee Ila sisi tuna kunywa responsible
 
hawa ndo ninaosema wanajiendekeza,..na ni WAPUMBAVU hakika,.....ukiwa TIMAMU na mwenye kujua madhara ya ulaji na unywaji mbaya, ni lazima uwe na uwezo wa ku-control ulaji wako na unywaji pia,......unakuta mtu amenenepeana kwa kula hovyo kama nguruwe, kutembea kidogo tu anahema utadhani ananyongwa,..

mtu analewa mpaka anajinyea, anapoteza mali, analawitiwa kisa pombe kiasi haimtoshi na kuacha hawezi,... seriously? 😳🤔

mtu yuko tayari aue figo zake makusudi kwa maenergy drinks na masoda matatu matatu kwa siku,....
Hatareee sanaa mkuu KIKUBWA ni kuwa na uwezo wa kuji control kwa kunywa kiasi na kula kiasi sio unakunywa na unageuka kituko na kichekesho na mpaka kuharibu kazi na Maisha kwa ujumla
 
Jambo la muda tu ndugu yangu Mimi mpaka namaliza chuo kikuu sikuwai kunywa na nilikuaga na nadhiri ya kuto kuja kunywa in my lifetime.

Nini kilitokea Kuna dhuluba za Maisha zilinikumba nikawaga kama RICH MAVOKO_SILALI 🥺 Kuna wimbo wake unaweza kupata muda ukausikiliza MBONA SILALI🤓

Nikanunuaga konyagi kubwa fungia ndani CHUMBANI kabatini nikawa napiga vizibo viwili napata USINGIZI ndipo nikaanza kunywa kiasi.

Mimi watu wote hawajuagi kua sometimes huwa nafanya recreational ya kunywa kinywaji changamshi

Siungi mkono ulevi na walevi na alcohol abused siku zoteee Ila sisi tuna kunywa responsible
Wimbo una imbwa mbona silali, kisa mawazo mwenzako sili😆😂.

Mimi pombe siifagilii, hata uzinzi hapana aisee.
 
Hahaha 🤣 😂
Mimi pia sipendi uzinzi na ulevi kweli kabisa mkuu.

Ukinywa unaifanya akili ipevuke iwe na uwezo mkubwa na kutenda kwa ufanisi mkubwa.

Ukiwa mwanaume na gentleman 😊 kama ndugu yangu lecturer wangu Tlaatlaah lazima unywe vinywaji changamshi kama safari Lager na konyagi ama magic moments

Kwaio save the date ni Jambo la muda tu utaanza kunywa japo kidogo kidogo zamani nilikua nashangaa watu wanakunywa vitu vichungu Mimi huwa na kunywa konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa Tena jioni na weekend huwa naichanganya na tonic water naogopa na najichunga sijui/Sito kua mlevi abadani.
Monetary doctor , secretarybird , Harmful
 
Piga vyombo mkuu hakikisha TRA wanakuita kukupa cheti cha mlipakodi bora
 
Back
Top Bottom