Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

Pombe zinaua.
Hasa hizi kali hizi ndio balaa.

Prof yeye alidai amewekewa Sumu kanda ya ziwa huko alikwenda kufanya shoo.
Pengne alikunywa Konyag feki. Maana ndio kinywaj chake pendwa.
 
Ila wewe jamaa 😅 ndiyo asili yetu wabongo, hatusaidii hua tunajisifu tu

Ni kama jirani yako aje kukwambia kamkumbuka marehemu mama yake halafu wewe jibu lako ni "Just talked to mine ten minutes ago"
Hapana.

Wewe ndiye una tabia za wabongo za inferiority complex na kuona negative kwenye kila kitu.

Huo ni ujumbe wa inspiration kwamba jambo la kuacha pombe linawezekana. Na tulioacha tupo hapa wala si hadithi za ajabu.
 
Mi sijaona negative mi nimeona kichekesho bruv
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Ushatumia pombe inaitwa bongo doni
 
Wakuu habari za mda huu

Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo

Najichukia nilivyo
Hongera.
Na unaweza kuta kisa ni Mapenzi.
 
Alcohol free since January 1 2024.
Na ulisema kweli mkuu mwaka Jana nakumbuka, ila Mimi kwa kweli nimeshindwa nilijikaza miezi mitatu nikarudi!!
Sihitaji ushauri wa namna ya kuacha Wala maombi ya wachungaji na mashehe Wala dawa yoyote
Siku nikiamua kuacha nitaacha tu
 
Ukiamua utaacha tu wala hakuna haja ya kukushauri sana.

Na kama hujaamua hata tukikushauri sana hutaacha.

Mimi tangu siku zile nina bia kwenye friji la garage, nina Scotch, nina wine, nina Tequila, nina Vodka, lakini sijagusa hata moja naziangalia tu kila siku.
 
Kwasababu ww hunywi sio?.

Mwanamke huyo huyo ambaye anamsaliti mume wake kwa ajili ya pombe ipo siku atakusaliti na ww ambae haunywi.

Ndio utajua pia Maranyingne usaliti wanawake wanasingizia kitu chochote Ili kutimiza adhima yao.
Anisaliti kwani ni mke wangu?

Wanawake ni waaminifu sana. Asilimia kubwa ya wanamke usaliti hua ni baada ya kumaliza option zote za suluhu mezani.

Kama mtu anaendekeza pombe, anasema kuliko aache pombe bora aache mke, maana yake mwanamke kwake hana maana wala thamani yoyote. Huyo unataka mwanamke aendelee kumvumilia, avumilie hadi lini? Binti mdogo ateseke kwa kukosa huduma wakati watu tupo tumuache tu ateseke, hilo haliwezekani.
 
Pombe ni addiction kama vitu vingine vyote sigara, bangi madawa ya kulevya nk
1. Nimekunywa pombe kwa miaka karibia 50/60 na sasa nimeacha kabisa na nina amani nalala kama mtoto mdogo na bado nakwenda out nakaa na marafiki nawapa offer kama kawaida .
2. HAKUNA KULOGWA NI MIND SET WEWE MWENYEWE JIAMBIE KUWA MIMI SASA POMBE BASI ....Ukimaanisha HUTAKUNYWA,
 
Endelea kunywa mkuu.

Kuna dogo flani alioa ex wangu, halafu akawa anakunywa pombe balaa, wakimwambia acha pombe anasema bora kuacha mke kuliko kuacha pombe.

Binti akaona ya nini mimi nife na utamu wangu, akaniletea mwenyewe kwa kunibembeleza, baba naomba unile, jamaa hanifanyi chochote. Sasa najilia vyangu na dogo analea familia yangu kiroho safi.

Kuna mwingine tena anaendekeza ulevi, mimi namsaidia kutunza mke. Huyu ananifurahisha sana anajua kuimba akishika microphone hadi raha.
Hivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.
 
Ukiamua utaacha tu wala hakuna haja ya kukushauri sana.

Na kama hujaamua hata tukikushauri sana hutaacha.

Mimi tangu siku zile nina bia kwenye friji la garage, nina Scotch, nina wine, nina Tequila, nina Vodka, lakini sijagusa hata moja naziangalia tu kila siku.
Ina maana uliamua kwelikweli,unaweza usinywe Tena mpaka mwisho wa maisha yako!
 
Install app ya Makatba sauti playstore kisha Soma kitabu Ifahamu Pombe. Kitakusaidia. Jaribu hobi kama kwenda kwenye draft, kahawa, kucheki mpira jioni, gardening nk nk. Pombe ikikukataa ni mateso makubwa.
 
Back
Top Bottom