Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Jifunge sub woofe shingoni....au nenda kwa wamasai wakuchanjie damu ya simba..yaani utaunguruma kama simba..
 
Tafuta Sabufa na maiki,kila unapotaka kuongea nae unawasha mic tu, so simple...
 
Kama wewe mwanaume utakua mbaya sana maana una maneno ya sokoni

Mtakatifu Apolinary; mbona hivyo tena? maneno ya sokoni ni yepi tena we si unataka BESI?, kwani sauti yako kwa sasa ikoje?,
 
Ki ukweli jaribu bangi hii kitu inabadilishaga sauti inakuwa nzito yenye mikwaruzo, Kama ni under 18”
 
Kwanza Mtakatifu Acha Dhambi Endelea Na Sauti Yako. Unataka Uwavutie Madada Ili Iwaje??mwezako Nimekubali Sauti Yangu Japo Ni Ndogo Yako Kubwa! Pia Kuna Watu Wana Taka Kuku Angamiza, Hilo Yai Bichi Hutumiwa Na Wanakwaya Kulainisha Sauti Zao Ili Zisi Mtishe Kasisi. Watuambie Wanataka Sauti Yako Uwaje Sasa??
 
Kwa iyo nizitumie yai???
 
uwe unameza bagia bila kutafuna kutwa mara tatu kwa wiki mbili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom