Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la jf doctor
Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake, nami naomba nijue kama kuna vyakula nile ili sauti itoke ya bezz.
Kwenu wadau.
 
una ugonjwa wa kisauti??kama ndio peleka jf doctor
 
Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la mmu.
Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake, nami naomba nijue kama kuna vyakula nile ili sauti itoke ya bezz.
Kwenu wadau.

Diamond anasauti nzito?
 
hahahahaha kweli duniani kuna vituko,,,huyo uliyenae hujamvutia hadi utafute wa kuwavutia zaidi eeeeh
 
hahaha Kyoma ugomvi huo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom