Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Niambie nile vitu gani!

we bana nani kakwambia sauti nzito ndo unakamatia wadada bana!
Barry White angekuwa na meli iliyojaa wanawake basi!
kama huwapati si kwa sababu ya kuwa huna sauti nene!
SWAGA zako tu hazisomeki!
 
Vitu vinavyofanya sauti iwe nzito ni GONGO, MNAZI NA WANZUKI. kama ukijaribu hivo hata Hasheem Thabit ataona ndani!!!!
 
ha ha ha!! mwambie huyo bwana mdogo. sie tuna sauti ya kawaida tuu na bado tunagegeda mtaani 🙂

af dogo umepotea au ni mimi ndo nimepotea!
umemisika aisee na sauti yako hiyo hiyo!lol!
 
we bana nani kakwambia sauti nzito ndo unakamatia wadada bana!
Barry White angekuwa na meli iliyojaa wanawake basi!
kama huwapati si kwa sababu ya kuwa huna sauti nene!
SWAGA zako tu hazisomeki!

Usinichekeshe mie eti swaga zangu hazieleweki
 
Wewe unatumia njia gani kuwapata mkuu
tafuta hiki kitu Click-Here-to-Get-Started-and-Start-Putting-Money-into-Your-Bank-Account.jpgthis is the solution for all women related problems
 
70/30. nimekuwa na mlolongo wa safari lately so siko available as much as I want :/ sitaki sauti nzito nisije kutisha watoto, sitoweza kuwasomea vitabu before bedtime
af dogo umepotea au ni mimi ndo nimepotea!
umemisika aisee na sauti yako hiyo hiyo!lol!
 
70/30. nimekuwa na mlolongo wa safari lately so siko available as much as I want :/ sitaki sauti nzito nisije kutisha watoto, sitoweza kuwasomea vitabu before bedtime

Ha ha ha sauti nzito ndio mpango mzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom