Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
hapa ndio kuna shida!
Shida kubwa....Ila bora nimemfahamu.
hapa ndio kuna shida!
hapa ndio kuna shida!
Kuhusu nini! unanifaham kivipi??Shida kubwa....Ila bora nimemfahamu.
Kunywa maji ya moto, yataenda kuumua nyama ya kooni na kutoa bezi zito...undelee kunywa kila siku hadi kiwango cha bezi utakalo kifikie.
Kwamba wewe ndie mjanja uliyebaki mjini...mnaitwa mabaharia nyie.Kuhusu nini! unanifaham kivipi??
Ulishawai kujaribu au unaandika tu kwa nadharia Mkuu???
lolHa ha ha sauti nzito ndio mpango mzima
fanya bidii kaziniNitaxipataje hizo
lol
fanya bidii kazini
Nitaandika kitu kisichokijua....Mimi nina bezi kama la Chidbenzi yule mwanamziki wa bongo fleva kisha uzidishe mara 2. Yaani linavyonasa wasichana usiombee jamaa yangu..Wewe kapige maji ya moto utanikubali.
ha ha ha we nani kakudanganya sikweli tafuta pesa kaka.
DOZI YA SIKU SABA:
kila siku asubuhi kula mayai mabichi mawili, kitunguu maji kimoja kikubwa kikiwa kibichi,
na asali kijiko kimoja alafu kaa masaa sita bila kufungua mdomo utakapo oonngea utaona mabadiliko.
kumbuka kuto kuswaki kabisa ndani ya siku saba,
Kwahiyo mdogo wangu, lengo lako ni kuwavutia wadada tu basi? Tafuta hela utawavutia hata kama ni bubu
unataka uwe unaunguruma ndani kama simba?
Tatizo hujajikubali ,ukipata hyo saut nzito utataka na kingine.......jikubal tuuNimebalehe miaka kumi imepita
Meza chura