Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Nenda kwenye vituo vya daladala kama upo Dar wale wapiga debe watakufundisha kama wanavyosema wao Magomeni Manzese Ubungo Kimara Mbezi gari hiyooooooooo wahi tuwahi (in Wapiga Debe's voice)

hio kali mimi ni mpiga debe pia sauti haijawa nzito
 
Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la jf doctor
Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake, nami naomba nijue kama kuna vyakula nile ili sauti itoke ya bezz.
Kwenu wadau.
Anza kula vyura walio komaa
 
Kila ukiamka asubuhi jigonge glass moja ya ile ngumu kumeza utakua kana simba.
 
Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la jf doctor
Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake, nami naomba nijue kama kuna vyakula nile ili sauti itoke ya bezz.
Kwenu wadau.

Kafanye kazi ya kupiga debe kwenye madaladala,nina uhakika mwezi hautaisha,itaanza kukaza tu.
 
Kafanye kazi ya kupiga debe kwenye madaladala,nina uhakika mwezi hautaisha,itaanza kukaza tu.
Jaribu gongo kali ongeza na bangi utaona jibu. Hata simba hatasogea. Wezi ndo kabisa hawabishi hodi.
 
Sio kuwavutia tu wadada. Na ulinzi pia ndani ya nyumba ikiwa nzito adui hakanyagi.
Hahahahaha kwa hiyo mtu akija kwako akiwa nje awezi kutofautisha Sauti ya waliopo ndani,weka clip ya Sauti yako hapa nisikie ndio nikupe Ushauri.
 
Hahahaaaa subiri umri wako wa barehe ufike...hata mimi nilikuwa na sauti nyembamba lkn ikabadilika nilipobarehe
Ila kama itagoma basi ujue tu ulizaliwa mwanaume kwa bahati mbaya teh eeeeteh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom