Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Nile vitu gani sauti yangu iwe nzito?

Kunywa vikombe viwili vya maji ya betri kutwa mara 3. Alafu urudi kushuhudia hapa jf.
 
Hahahahaah,,,,,ushauri mwingine unaotolewa humu,,,,,,,,,!!!
 
heb 2pia hapa sauti yako ya sasa inaskikaje ili watu wakutibu according 2 tatizo.
 
kula zege vizia site mahali omba hata sahani moja
 
Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la jf doctor
Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake, nami naomba nijue kama kuna vyakula nile ili sauti itoke ya bezz.
Kwenu wadau.

Kula chokaa
 
Nenda kwenye vituo vya daladala kama upo Dar wale wapiga debe watakufundisha kama wanavyosema wao Magomeni Manzese Ubungo Kimara Mbezi gari hiyooooooooo wahi tuwahi (in Wapiga Debe's voice)
 
Hakuna kitu kibaya kama kuvuta bangi ukiwa uchi wa mnyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom