Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
uwe unameza bagia bila kutafuna kutwa mara tatu kwa wiki mbili.
Hii kaliii

Hapana nachotaka niwe na bezi mkuuWabongo bana sasa wewe unataka kuwa simba au?
Anza kuhubiri magengeni na sokoni mkuu, itakua bezz automatically..na utaweka hazina yako mbinguni!Habari jf Nadhani sijakosea kuweka hii post yangu ktk jukwaa la jf doctor
Shida yangu ni kwamba ninasikia kuwa mtu mume akiwa na sauti nzito mpaka kiasi ya kutosikika vizuri huwavutia Wanawake, nami naomba nijue kama kuna vyakula nile ili sauti itoke ya bezz.
Kwenu wadau.
Anatumia nini mkuu¿
Isikupe shida saut ulionayo inatosha kuna wengne wanataman kungea lakn wanashindwa
Vere simpo chalii:
Chukua nusu kilo ya mchanga wa baharini, changanya na DAWASCO mma kisha koroga mpaka uchanganyike vizuri.
Ongeza vijiko vinne vya asali na majani ya chai kwenye huo mchanganyiko weka na tangawizi iliyosagwa.
Chukua nyanya kata vitunguu mma vinne weka na chumvi kwa mbaaaaaaliiiii.
Kama nyumbani kuna panya, kamata wawili wachune ngozi kisha waweke kwenye sufuria iliyojaa mma kwa dakika 17 na sekunde 3 tu. Usizidishe tafadhali.
Kusanya mabungo sita, yakate na umwagie tunda zake kwenye sufuria ya panya.
Kisha nenda saluni ukanyoe nywele nusu upande.
Okota hizo nywele uchanganye kwenye ile mixer ya kwanza.
Weka dirishani kwenye chumba unacholala mpaka asubuhi.
Darasa linaendelea kesho. tuanzie hapo kwanza. Ukifanikisha step hii niambie
Kazi hio ni rahisi natarajia kuifanya leo