Nikwanini members wa jamii forums wanatumia majina yasiyo halisi??

Nikwanini members wa jamii forums wanatumia majina yasiyo halisi??

Kwanini unatumia jina halisi???Huo ujinga ni upi kuikosoa serikali ya CCM??Ukizeeka utakuwa mchawi
a96f416f656fe254030d7da62bfe17ca.jpg

Kaka wewe unatumia jina halisi hausimamii upande tofauti na ccm, watu salama kwa sasa humu nchini ni wanaccm tu, tulio tofauti na ccm lolote baya ni lako ndio maana tunajihami kwa kila njia kwasababu watawala hawajui kuheshimu tofauti zetu.

Utumiaji wa lugha ya Kiswahili umekua wapo watu hata katika mazungumzo na marafiki zake kiunganishi cha sentensi ni tusi sisemei yanayondikwa humu JF hata katika Instagram, WhatsApp nk. na wanafahamiana kwa majina na sura, siamini jina linaondoa hulka ya mtu haswa matusi hii siyo sababu .... Ila suala la usalama ndio kubwa pekee kwangu mimi
 
Yaani na muda wako wote huo tangu ujiunge JF hujawahi kuelewa umuhimu wa ID fake!!
Serious??
Mkuu mijitu mijinga kama huyu mleta uzi IPO kila mahali bila shaka atakuwa msukuma wa chato
 
Kwanza mleta uzi unaelewa maana ya kusema Jf is where we dare to talk openly???Kina Ben saanane walitumia majina yao halisi kuhoji PHD ya korosho yupo wapi??
 
Majina yasiyo halisi yanawafanya members wa jf wawe BRAVE KEYBOARDERS chumbani, they can say anything while hiding under the bed!
That's it.
 
Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi kusingekuwepo na maujingajinga na mada za hovyohovyo!!!


Tutumie majina halisi!!
Mbona hata wewe unatumia jina feki??
 
Back
Top Bottom