ULIMI MKUBWA
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 195
- 182
- Thread starter
- #41
Hivi fake ni mbaya ama siyo mbaya? Maana hata kununua vitu huwa tunalenda vitu og kabisaInategemea mkuu kuna mambo mengine lazima uelimishe na utie watu moyo na ili uwe huru lazima utumie fake Id,mfano mzuri ni mimi mwenyewe