ULIMI MKUBWA
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 195
- 182
- Thread starter
- #61
Unafyata nini kuweka id yako og??? Unakuwa muoga kama kunguru??Ili iweje?Kujiamini unafikiri ni kama kudindisha uume?Kua,bata bukini!
Unafyata nini kuweka id yako og??? Unakuwa muoga kama kunguru??Ili iweje?Kujiamini unafikiri ni kama kudindisha uume?Kua,bata bukini!
Vijana wa facebook hao.Kaweka na picha yake kabisa kama anatafuta mchumba.
Mtu anapokosa cha kuongea basi huishia kukohoa tu!!Jifundishe kuandika kwanza,umenipa tabu sana kusoma.
Kunguru waoga aiseee!!!Kaweka na picha yake kabisa kama anatafuta mchumba.
Wengine tunakohoa kwa sauti nzito yenye mitetemo kama simba hadi ninyi vinyangalakata mnajikojolea kwenye masulupwete yenu.Mtu anapokosa cha kuongea basi huishia kukohoa tu!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] usiku mwema ngoja tuangalie arsenal anavyokufa hapa
Kwa hiyo ukaona ukiweka picha umerembua na jina lako ndiyo utakuwa shujaa?Hapa siyo Facebook dogo.Kijijini kwenu walikudanganya,changamka.Kunguru waoga aiseee!!!
VipMmmmmh
We jamaa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaweka na picha yake kabisa kama anatafuta mchumba.
Hahahahaaa!Wasukuma nawapendaga sana.Tatizo uboya.Wanavaa bangili hadi shingoni?We jamaa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wasukuma wanakusalimia[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi kusingekuwepo na maujingajinga na mada za hovyohovyo!!!
Tutumie majina halisi!!
Yaani na muda wako wote huo tangu ujiunge JF hujawahi kuelewa umuhimu wa ID fake!!Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi kusingekuwepo na maujingajinga na mada za hovyohovyo!!!
Tutumie majina halisi!!
kama utakuwa umeelewa vizuri motto wa jamiiforums sasa fuatilia kesi zake zilizopo mahakamani vizuriHow can you air out the truth meanwhile you are hiding yourself??? What kind of truth is this?
Kwaajili ya usalama wako bana, romanization imeshamiri dadaSasa kama ni mfichua maovu anafichwa ili iweje na hana kosa??
Tupatie mada yoyote au post ambayo umeikosoa serikali au viongozi wa juu kwa hili jina lako ili tutathmini kujiamini kwakoNdiyo hawajiamini kabisa...... Maana wanaishi kwa hofu hofu