ULIMI MKUBWA
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 195
- 182
- Thread starter
- #21
Ndiyo ni halisiWewe jina lako sio halisi?
Ndiyo ni halisiWewe jina lako sio halisi?
Haujaelewa mada.... Soma marambilimbiliKwanini unatumia jina halisi???Huo ujinga ni upi kuikosoa serikali ya CCM??Ukizeeka utakuwa mchawi
![]()
Umeelewa mada??Unajua ki2 inaitwa "ANONYMITY" tena kwenye sehemu inayotolewa macho na serikali na vyombo vingine vya kiusalama ķutokana na mada hadimu zinazojadiliwa hapa ni kweli tupu na full nondo ANONYMITY ni muhimu mzee na ndiyo maana ukiwa unajiunga lazima mods wakuelekeze utumie fake id ili usiweze kutambulika kwa hiyo kama ww umetumia id original ni juu yako kupatwa ni simple tu
Hujaelewa nilichokiandika rudia tena kusoma nimekuuliza swaliHaujaelewa mada.... Soma marambilimbili
Safi sana, kumbe sio Kila MTU anayetumia fake IDNdiyo ni halisi
kwahiyo unadhani wanaotumia majina fake ndio hawajiamini?Kwa sababu najiamini
Siyo kweli... Kwani ukiongea ukweli kwa kutumia jina lako halisi utakufa??Inaonekana JF ndiyo forum yako ya kwanza na hakuna nyingine ambayo ni member.Kuna forums nyingi duniani kuanzia za education,technology,michezo nk na bado watu wanatumia nicknames na hakuna anyeshangaa,sasa wewe sijui wa wapi kutaka humu wawe na majina halisi.
Ndiyo hawajiamini kabisa...... Maana wanaishi kwa hofu hofukwahiyo unadhani wanaotumia majina fake ndio hawajiamini?
Isiwe tabu nenda fbSiyo kweli... Kwani ukiongea ukweli kwa kutumia jina lako halisi utakufa??
Pamoja na majina yasohalisi si Kijana cha kuvunja Sheria ndo maana wapo moderate, kujitahidi kuchuja yasio na maudhui,ukitumia vibaya jf wakiamua kukufatilia watakupata tu.Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi kusingekuwepo na maujingajinga na mada za hovyohovyo!!!
Tutumie majina halisi!!
Ushasoma kitabu kinaitwa "The Federalist Papers" ?Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi kusingekuwepo na maujingajinga na mada za hovyohovyo!!!
Tutumie majina halisi!!
Sawa wee mshipaSawa ngoja waje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu viphahaha kweli wewe ni mshipa
Ni kweli wengi wapuuzi humu watukanaji waropoka na waanzisha mada za kipuuzi hovyo ni kwasababu hawajulikani uhalisia wao laiti ingekua tunaweka utambulisho halisia humu watu hawa wangejiheshimu na kuwa na adabu pia ustaarabu
Hahaha jombaa wa stend mambo vipSawa wee mshipa