Nikutie moyo, ewe kijana.

Nikutie moyo, ewe kijana.

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
5,109
Reaction score
20,220
Kwanza niwasalimie,

Ila chukua hizi Kwanza kisha tafakari,

Acha wachat naye Huyo Mpenzi wako Acha wapigiane video calls,chakufanya wewe muhudumie tu,hutasikia hii popote.

Acha kushika simu yake,jifanye hujui nini kinaendelea,mpe Uhuru,utanikumbuka.

Acha kuongea sana,tekeleza mahitaji yake,usiseme hukuambiwa,acha kupotezwa na maandishi na posts kwenye mitandao,maisha yanataka userious siyo nadharia.

Uwe na usiku mwema 😂
 
Kwanza niwasalimie,

Ila chukua hizi Kwanza kisha tafakari,

👉Acha wachat naye Huyo Mpenzi wako Acha wapigiane video calls,chakufanya wewe muhudumie tu,hutasikia hii popote.

👉Acha kushika simu yake,jifanye hujui nini kinaendelea,mpe Uhuru,utanikumbuka.

👉Acha kuongea sana,tekeleza mahitaji yake,usiseme hukuambiwa,acha kupotezwa na maandishi na posts kwenye mitandao,maisha yanataka userious siyo nadharia.

Uwe na usiku mwema 😂
Hatupokei tena ushauri.

Advice receiving window has been shut down for good.
 
asante kwa kuniTIA moyo.

Mungu akubariki. NimeTIWA moyo sana.
FB_IMG_1793943686689.jpg
 
Kwanza niwasalimie,

Ila chukua hizi Kwanza kisha tafakari,

Acha wachat naye Huyo Mpenzi wako Acha wapigiane video calls,chakufanya wewe muhudumie tu,hutasikia hii popote.

Acha kushika simu yake,jifanye hujui nini kinaendelea,mpe Uhuru,utanikumbuka.

Acha kuongea sana,tekeleza mahitaji yake,usiseme hukuambiwa,acha kupotezwa na maandishi na posts kwenye mitandao,maisha yanataka userious siyo nadharia.

Uwe na usiku mwema 😂
Naufanyia kazi huu ushauri 😝
 
wa kwang nimemkuta na bahasha wake, nimemwambia siwez ingilia majukumu ya mwanaume mwenzangu abadani, kama unataka kuniacha wee niache ila mpak leo nashangaa bado hatak kuniacha
 
wa kwang nimemkuta na bahasha wake, nimemwambia siwez ingilia majukumu ya mwanaume mwenzangu abadani, kama unataka kuniacha wee niache ila mpak leo nashangaa bado hatak kuniacha
Yes, maamuzi ya kiume
Kaza haina kufeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom