ushauri kujenga nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jack Daniel

    Nikutie moyo, ewe kijana.

    Kwanza niwasalimie, Ila chukua hizi Kwanza kisha tafakari, Acha wachat naye Huyo Mpenzi wako Acha wapigiane video calls,chakufanya wewe muhudumie tu,hutasikia hii popote. Acha kushika simu yake,jifanye hujui nini kinaendelea,mpe Uhuru,utanikumbuka. Acha kuongea sana,tekeleza mahitaji...
  2. D

    Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  3. GoldDhahabu

    Milioni 200 inatosha nyumba na magari mawili?

    Hajawahi kumiliki nyumba wala gari lake binafsi. Kwa zaidi ya miaka kumi aliyokuwa kwenye ajira alikuwa akiishi na kutumia gari la taasisi. Sasa anataka kuachana na ajira ili asimamie kwa karibu miradi yake. Ametenga milioni 200 kwa ajili ya nyumba na magari mawili. Anataka magari mawili kwa...
Back
Top Bottom