Niko serious

Niko serious

Heeeh. Ina maana ofa iko mezani tayari? Tatizo lako pensheni yako bado iko mbali sana, nitaishia kulimishwa jembe la mkono mie!:lalala:
Ngoja nimuombe ushauri dingi Mtambuzi. Afu usije ukawa umetumwa na Erickb52 ili nikose taji la faithful long lasting couple.
Mimi nilifanya na FCO hivyo fungu langu ni nene haswa!, na matibabu niko covered na Golden Card ya Visa Master Card, hivyo matibabu ni UK au Ujerumani, nitakutengenezea legal paper za registered nurse ili tusistukiwe!. Yaani were tuu !.
P.
 
Last edited by a moderator:
sawa
Heeeh. Ina maana ofa iko mezani tayari? Tatizo lako pensheni yako bado iko mbali sana, nitaishia kulimishwa jembe la mkono mie!:lalala:
Ngoja nimuombe ushauri dingi Mtambuzi. Afu usije ukawa umetumwa na Erickb52 ili nikose taji la faithful long lasting couple.

Wewe tuu !. Ushauri omba ila hili la kutumwa!, ni sawa na kumtuma chui amlinde mwana mbuzi!, ila ni wachache sana wanaofahamu kuwa hata chui akizeeka, anakuwa hana tena meno, hivyo hana madhara kabisa !. mimi nimeisha jizeekea, hivyo nitakuwa ni mshika pembe tuu!. usiogope!.
P.
 
Heeeh. Ina maana ofa iko mezani tayari? Tatizo lako pensheni yako bado iko mbali sana, nitaishia kulimishwa jembe la mkono mie!:lalala:
Ngoja nimuombe ushauri dingi Mtambuzi. Afu usije ukawa umetumwa na Erickb52 ili nikose taji la faithful long lasting couple.
Copy kwa Paw
 
Last edited by a moderator:
daaa kama ni qweli natashuquru sna myn:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

hahahahaha sina qualification zilizoainishwa hapo juu,kila la kheri.
 
Back
Top Bottom