Niko serious

Niko serious

Dah,ili jukwaa bomba sana,kuna sehemu ukiingia hadi kichwa kinauma.
Kichwa kinauma sana tu maana kuna mwingine kakimbia Guest leo humu JF baada ya kuoneshwa Cheti cha Bibie aliyepima 2005 na muathirika halafu wote wameshakunywa wapo kuRoom
 
Hi mambo zenu kwa jina naitwa boyvan willium nipo pande za Arusha natafuta mchumba:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: awe mnene kiasi umri kuanzia miaka 19 niko sirious na kwa aliyoko sirious plz tuwasiliane kupitia my email boyvan11@gmail.com mda wowote najibu plz my>>>>> 0753694251>>>>>> zile za tigo kwa sasa hazipatikani am relly sorry lol friends hiz ndio zipo hewani mda wowote plzzzz 0753694251 lov yu oll:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu
ulipashwa umwage wasifu wako kwanza wewe.......
 
Hivi hakuna PM? Utakuta mtu kaanzisha thread yake ya mambo ya maana afu watu wananzisha conversation zao za kijinga ambazo unatoka nje ya mada. Inakera sana.
 
Hivi hakuna PM? Utakuta mtu kaanzisha thread yake ya mambo ya maana afu watu wananzisha conversation zao za kijinga ambazo unatoka nje ya mada. Inakera sana.

asante sana kwa kuwakumbusha
 
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: awe mnene kiasi umri kuanzia miaka 19 niko sirious na kwa aliyoko sirious plz tuwasiliane kupitia my email boyvan11@gmail.com mda wowote najibu plz my>>>>> 0753694251>>>>>> zile za tigo kwa sasa hazipatikani am relly sorry lol friends hiz ndio zipo hewani mda wowote plzzzz 0753694251 lov yu oll:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu[/QUOTE]
Hiyo misoli inapendeza sana kule fb wapo 19 yrs old. Huku jf kuna mama zako
 
nasikia fb ni rahisi kupata jaribu na huko labda...
 
Mmmh saa hizi mie namendea pensheni za watu tu. Kwa hiyo nasaka nyumba ndogo yenye 54 yrs old kama anafanya private sector. Wa serikalini kama kina Pasco inabidi walau awe 59. Sasa huyu jamaa labda aniintrodyuzi kwa babake mzazi.
Kisengereti boy hcho. Chukua.
 
Last edited by a moderator:
Mie nataka nijitolee kukulipia mahari jamani. Afu hiyo avatar... Una uhakika mama yako alikuambia wewe ni me na sio shemale?
lol acha izo koz niko sirious no time for joacking:nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Mmmh saa hizi mie namendea pensheni za watu tu. Kwa hiyo nasaka nyumba ndogo yenye 54 yrs old kama anafanya private sector. Wa serikalini kama kina Pasco inabidi walau awe 59. Sasa huyu jamaa labda aniintrodyuzi kwa babake mzazi.
King'asti, wengine japo hatujafikia hata fifty, lakini tuna behave kama just retired with very fat pension!. Kama ni nyumba utajengewa na x6 utanunuliwa!.
P.
 
Umeona eeh. Ila pensheni ndo yenyewe banaa. Milioni 200 zisizo za mawazo na hakuna ada za watoto? Mambo ya kukwatua lami hatupendelei. Na ukianza visukari mie nakusindikiza india tu as long as visa card inatumika kushop around.

Mimi nilifanya na FCO hivyo fungu langu ni nene haswa!, na matibabu niko covered na Golden Card ya Visa Master Card, hivyo matibabu ni UK au Ujerumani, nitakutengenezea legal paper za registered nurse ili tusistukiwe!. Yaani were tuu !.
P.
 
Back
Top Bottom