Niko njia panda

Niko njia panda

Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.

kuwa na mume wa mtu inakuwa powa kama na wewe uko kwenye ndoa ambayo imeshakuchosha then mnapeana tu gudtime, sasa bibie huyu mwenzio ana ndoa na maisha yake, wewe unangangania eti unampenda. WHAT ABOUT YOU AND YOUR FUTURE?

au unadhani atamuacha wife akuoe wewe? Thubutuuuuuuuuuuu

inshort usimuache boyfriend wako, jitahidi kumsahau huyu mume wa mtu ili uweze kubuild future yako pia. trust me itafika wakati huyu mume wa mtu atakuchoka maana ur too available for him.

think of ur future, waume za watu tuachieni sie wake za watu tuliokinai ndoa zetu.
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda

hebu toka hapa, hakuna cha mapenzi wala nini

utoto unakusumbua tu, mwenzio yupo na wewe kama kipozeo wewe eti unampenda.
hebu anzisha nyumba yako kwanza, ikikuchosha ndo utafute kipozeo pia
 
Acha ushetani we mwanamke si vyema kuendekeza nyege zako hadi kupelekea kuvunja ndoa za mwenzio pili hebu jichukulie wewe ni yule mkewe wa huyo mzinifu mwenzako ungejisikiaje? Mi nahisi unaugua utahira wa mapenzi kwa kuendekeza nyeg,e zako.KAMA KWELI WE UNAVUTIA NA ELIMU HUWEZI KUNG'ANG 'ANIA MUME WA MTU NDO NYIE MNAOTUFANYA TUONEKANE SISI WANAWAKE HATUNA AKILI KILA SIKU.

kwani wanawake tuna akiri sie, mbona tumedata tu siku hizi
 
mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani

mh jamani mbona umeanza mapema mdogo wangu, aisee at ur age, nilikua naogopa kabisa mume wa mtu.

aiseee nimekuvulia kofia, anyway bado una mda endelea tu kuenjoy, ukikua utaacha
 
Azote nadhani hujanielewa mie kuachana na huyu mume wa mtu inakuwa vigumu kwani tushaenda extra miles si juu yangu tena kuamua

extra miles ndo wapi huko? jamani we dogo una mambo.

mi wala sikushauri, ukifika 30 yrs like me utakua tu, we jipe raha bwana maisha yenyewe ndo haya
 
Ungejiheshimu ungebeba wame za watu acha kukoromea watu wanakuambia ukweli zinduka we mwana dada.Nashindwa kuelewa lipi linakufanya ung'ang'anie mume wa mtu jamani?Jiamini hata kama una sura kama mama Anna Mkapa una stahili kupata chako cha peke yako dia.

ha ha ha acha wewe!

cha peke yake akitoe wapi? Tanzania hii au nji gani?
 
duh,kweli waume za watu ni kama magazeti pendwa!!lol
 
nini maana ya kupoteza muda wa kaka wa watu,bidada jielewe bhana haiwezekan utoke na mme wa mtu ka vile mali yako.Tafuta wako umiliki

uliona wapi binadamu akamilikiwa wewe?

hivi mbona JF watoto wengi jamani
 
mtoto wa kulwa,no nene nali mwanakulwa.Huyu kaniudhi sana,ndo maana kwetu wanasema fujaga ndimu,utizofuja nhola.Na huyo mwanaume naye hovyo kabisa

wabeja ng`wana wane nanho uli mwanakulwa! kwikwikwi ndugu yangu. Waswahili wanasema mtaka yote kwa pupa hukosa yote wa ng`ambo kamkosa mme wa mtu hapo hataambulia kitu ila watu wengine wamejifunza kutokana na post hii.
 
ataanza hv..mama tama unajua ktk pitapita yangu nje nime...mh! Nimetia
mimba kwa ....pambaf! Atakuwa mgonjwa wa akili.

Unajua mkuu nimegundua hawa watoto wengi wanafikiria kwa kutumia MASABURI yaani yeye anaona jambo rahisi kama kuiba hela kwenye pochi lako mwenyewe....Ngoja atakapopata huyo mtoto ndiyo atajua kwa nini wanasema mme wa mtu ni tamu chungu.
 
Ni kama tuna wind up sasa.....kila mmoja ajitazame kama amefunga mkanda safari inaanza ya kurudi kwa baba kunyakua wanae
 
Jamani huyu dada wa ajabu na hayuko peke yake wako wengi wenye sampuli kama yake,mume wa mtu ni mpitaji tuu sa anataka kuweka makazi kama wife hahhaha yani we dada kama unaona rahisi unda chako ukienzi.ujiwekea nuksi bure wakati unaweza kupata wa kwako hata kama mbaya utapata wa kuendana nae,nawashangaa wanaongangania waume za watu hahahaha kama vile hawajaona wanaume wengine na ukifanyiwa na wewe utajisikiaje sasa hapo baadae nyambafu kabisa ila hutafika mbali mana kila lenye mwanzo halikosi mwishowe,usije rudi na thread ya kusema umerogwa mbona huolewi hahha chezea mme wa mtu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yaani wewe ni bongolala uliweka record,unabeba mimba ya mume wa mtu na bado unajisifia unampenda, mapenzi gani unayoyasema wewe, au maluelue hayo ulonayo kichwani mwako ndo unayaita mapenzi, unayajua mapenzi weye?
 
Acha ushetani we mwanamke si vyema kuendekeza nyege zako hadi kupelekea kuvunja ndoa za mwenzio pili hebu jichukulie wewe ni yule mkewe wa huyo mzinifu mwenzako ungejisikiaje? Mi nahisi unaugua utahira wa mapenzi kwa kuendekeza nyeg,e zako.KAMA KWELI WE UNAVUTIA NA ELIMU HUWEZI KUNG'ANG 'ANIA MUME WA MTU NDO NYIE MNAOTUFANYA TUONEKANE SISI WANAWAKE HATUNA AKILI KILA SIKU.

Matusi matusi lakini majibu
 
Ama kweli mgegedo siyo mchezo, na aliyeumba "DUDU" akalitia utam usioelezeka haya ndiyo matokeo yake, maana hataki kuacha Dudu la mwenzake ambaye amemilikishwa kihalali na ana vyeti vyote, Loh!!! Lakini dada Mume wa mtu sumu" so Kula ukijua lina mwisho wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom