Niko njia panda

Niko njia panda

tumekuwa digital

mtakaliaga hayo hayo na digital wenzenu tumeshawazika na wengine wapigwa wamechomwa na pasi za makalio kwa kufumaniwa na Me/Ke za watu!!
Hao analog ndo zilipendwa wako taratibu na ndoa na maisha yao.
Kama dgital imetoka ktk vifaa mmeiamishia ktk maisha ya wanadamu, serikali imeamishia mitambo yake dgtal na nyie mnahama?
Shame on u!!!!!!!
 
Sawa lakini mwanaume kwani hajui siku za hatari? Mie mbona natomba siku za hatari ---- ni tamu lakini sijajisahau kokojoa ndani hata sku moja. Najua ulimwomba mtoto ikabidi ubinadaam ukamwingia mzee akaweka vitu. Ndio maana naogopa nyumba ndogo hii kitu huwezi kukwepa.
 
Sijawahi muomba mtoto wala sikuwa nimeplan kuzaa till nifike 28

Kama hiyo mimba haikuwa kwenye plan....kama hiyo mimba ilikuwa mistake...subiri muda si mrefu utapata ufumbuzi wa tatizo lako

Si unashindwa kumuacha eeh??? Ngoja atakapo kuacha ndio utamwacha.

Wenzio unaoona at leat wana last long (maana kuachwa ni given) na waume za watu wanakuwa wameombwa "honey nizalie mtoto wa kiume; darling nizalie mtoto wa kike, darling mke wangu hazai nataka mtoto..." sasa wewe unajizalisha wakati mwenzio mkewe si mgumba na wala hakukuomba uzae...was just a mistake.

Huyo mwanaume bado yuko kwenye shock ndio maana ukijiliza liza anajikuta anaropoka ooo. ntamwambia wife una mimba yangu. Anasubiri nini mpaka sasa?

Akyanani huyo akiwa hubby anambie upuuzi wake ndio utajua raha na karaha ya kula vya watu

Sijawahi muomba mtoto wala sikuwa nimeplan kuzaa till nifike 28
 
Nakushauri kaa chini fikiria mara mbili, unamuacha mchumba unaamua kubeba mimba ya mme wa mtu. Angalia maisha yako ya mbele yatakuwaje!
 
Kwanza, mwambie jamaa ukweli, wala usimfiche...ni vizuri akijua kinachoendelea kuliko kumpotezea mda, inawezekana anakaa akijua wewe ni mke mtarajiwa, sasa usimfiche ili aamue kunyoa au kusuka.

Pili, jaribu sana kufikiria maamuzi yako....maamuzi yako yataathiri future yako kwa kiasi kikubwa. Unaweza ukawa single parent for the rest of your life, upo tayari?

Tatu, vaa viatu vya huyo mwanamke..je ungependa kufanyiwa hivyo?

Mwisho, tumia ubongo kufikiri manake saivi unatumia moyo ambao unakudanganya.
 
kweri ule utamaduni wa kuwapeleka watoto unyagoni una umuhimu wake, sasa ona aka katoto kanashabikia umalaya wake,,, nyambafu kabisa wewe mtoto,, una miaka 24 unadandia waume za wenzio hivyo je ukifikisha umri wa 40 wewe mtoto sijui utakuaje yani???? azote teteeni unyago kwa hivi vimalaya au muwafunze humu jamvini
 
Anajua alichomfanyia huyu mwanaume.ndiyo maana anajiamini kwenye hili

aahaaa wapi, ataenda kumwambia kashamwambia mkewe kumbe hajamwambia lolote, kwa huyo mwanaume huu ni wakati wake mgumu kabisa, kuanza tu kusema nyooo nyooo sijui kuna mimba huko nje, sijui nini na nini, sio rahisi hata kidunchu, anamzengua tu, huyu anakuja kumwagwa pabaya kabisa, hivi mbona wadada hamuufurahii/ringia usichana wenu? 24 unazaa na mume wa mtu? sasa utakula lini usichana wako jamani? aisee yaani unaacha kukamatana na vijana wenzio ule maisha unakamatana na wababa wa kujifichaficha nao, kazi mnayo, hapa ndio namuelewaga Mentor sasa.
 
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
si mzima wewe, wakakupime!
 
Hao dada zako hawana tofauti na kaka zako ambao sio tu wanasaliti wake zao lakini wanawaweka kwenye risk ya magonjwa na watoto kuwa yatima kwa kucheza peku peku hadi kuwapa mimba watoto wanaowazidi miaka 14.

mhh hivi wadada wa siku hizi hampendi starehe tena? mie nashangaa utafurahiaje maisha/starehe ya ujana wako kwa umri wa 24yrs kutembea na mume wa mtu? wengine tulipokuwa 24yrs tulikuwa tumeshaolewa, but tuliruka manyoka na vijana wenzetu mwanzo mwisho mpaka wakatununua jumla, baadae anakuja kutafuta mchumba humu na age ya 35yrs na kulaumu kila miungu kumbe alishajitia manuksi/balaa na waume za watu.
 
Definition ya starehe inatofautiana kati ya mtu na mtu; kwake yeye starehe ni ngono tu na sio romance na adventures; na ndio maana akipata kitu cha mchana kwa hardly two hours tena kwenye chumba cha hoteli na kudanganywa jinsi gani alivyomtamu kuliko mkewe na kuambiwa how he wishes binti angezaliwa in 70s basi anaona dunia yote yake. Na huenda alishakuwa disappointed na kijana mwenzake hivyo ameona anapata tulizo kwa baba fulani ndio kabisa inamaliza kila kitu.
All in all kuna muda wa majuto na surely ataujutia sana muda huu.
 
kwenye hili game hayo hayakosekani,na kwa mume wa mtu ndio asubirie balaa kabisaaaaaa, tumtakie kila la kheri na safari yake, asije tu baadae akamjutia kijana wake atakaemmwaga hivi karibuni.
 
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough
Definition ya starehe inatofautiana kati ya mtu na mtu; kwake yeye starehe ni ngono tu na sio romance na adventures; na ndio maana akipata kitu cha mchana kwa hardly two hours tena kwenye chumba cha hoteli na kudanganywa jinsi gani alivyomtamu kuliko mkewe na kuambiwa how he wishes binti angezaliwa in 70s basi anaona dunia yote yake. Na huenda alishakuwa disappointed na kijana mwenzake hivyo ameona anapata tulizo kwa baba fulani ndio kabisa inamaliza kila kitu.
All in all kuna muda wa majuto na surely ataujutia sana muda huu.
 
Unajua mkuu nimegundua hawa watoto wengi wanafikiria kwa kutumia MASABURI yaani yeye anaona jambo rahisi kama kuiba hela kwenye pochi lako mwenyewe....Ngoja atakapopata huyo mtoto ndiyo atajua kwa nini wanasema mme wa mtu ni tamu chungu.
Yaan mkuu hawezi kukuelewa hapo alipo, mm nina experience fmr my hubby. Wanaume nimewarespect kuliko kiumbe

chochote dunian. unajua alikuwa anatetea ndoa yake icvunjike..kama hana akili nzuri. Binti wa 23 yrs alikuwa

anachambuliwa kama karanga. the worse aliposema najishangaa huwenda binti aliniroga! Na mm nikawa na divide and

rule..yule binti nilipomsimulia hakuamini kama mwanaume aliyemwambiaga anampenda leo anamtusi..nikamwambia

chezea mume wa mtu ww. Mume avunje ndoa ya miaka 5/7 na watoto kwa ajili ya mtu ambae hamjui, hajui familia yk,

ukoo wake, n.k thubutuuuu.
 
Tulipima kabla ya kuanza kuhaves3x
Hao dada zako hawana tofauti na kaka zako ambao sio tu wanasaliti wake zao lakini wanawaweka kwenye risk ya magonjwa na watoto kuwa yatima kwa kucheza peku peku hadi kuwapa mimba watoto wanaowazidi miaka 14.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom