Usemayo ni sahihi BAK nimejaribu kuushinda moyo but nimeshindwa
mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani
uma laya unakusumbua,eti im in live,tamaa tu hizo,kumbuka TAMAA MBELE MAUTI NYUMA.mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani
Nyani kasoro mkia,tumia akili na usitumie emotions,mme wa mtu kwa nini unamganda,rudi kwa bf wako.Miaka 24 siyo mtoto wewe tumia akili.huyo mme wa mtu achana nae alee familia na kusomesha watoto wake.na wewe tengeneza familia yako.Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
haijalishi imetake time,but umesex ndicho kinachomatter,achana na mme wa mtu.Mkewe akijua amani haitokuwepo,unae wako kwa nini ugande kwa mme wa mtu.Deepa mimi siyo msaliti na ndiyo sababu ilinitake time mpaka kuanza kuse.x na huyu mume wa mtu
Hujaamua tu,kwa nini ishindikane?kwani umedhaliwa nae?miaka yote uliyoishi bila yeye kuwepo katika maisha yako ilikuwaje?achana nae,unajitengenezea mwisho mbayaAzote siyo kuwa namganda mume wa mtu ,nampenda na kama ni kuachana naye nimejaribu twice ikashindikana
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu[/QUO
Majibu unayo mwenyewe.. If your old enough to screw a married man your old enough to know what to do. You know your cheating with on your boyfriend and you know u dont love him anymore so you definately know u need tell him.
Am sure u know this old guy wont last and u not sure if dumping the boyfriend is such a good idea because ur scared u might endup alone. Which is selfish of u.
Nways, do the right thing tell the poor boy the truth....
kwa mmeoana?mmezaa?tuambie basi ni miles zipi hizo mlizoenda?mpaka ushindwe achana nae,au amekuahidi atamuacha mkewe akuoe wewe?au umeridhia kuwa nyumba ndogo yake?funguka basiAzote nadhani hujanielewa mie kuachana na huyu mume wa mtu inakuwa vigumu kwani tushaenda extra miles si juu yangu tena kuamua
Hebu jaribu kutoka nje ya feeling zako na uwe realistic. Kumbuka moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote na hakuna awezae kuujua isipokua Mungu. Jaribu kuvaa kiatu cha mwanamke mwenzio na uone inavyouma , Usiongozwe na matakwa ya mwili. Huo mwili huwa tunautiisha tu ili uweze kufuata matakwa halisi. Unaposema huezi kuuchagulia moyo hapo unaniacha hoi so kesho moyo ukikwambia kuna mtu mwingine umpende basi wewe utaufuata. Kumbuka usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako. Wahurumie hata watoto wa mwanamke mwenzio na familia yake kwa ujumla. Kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti, mwambie tu ukweli huyo bf wako kua unatembea na mume wa mtu kwa kua moyo umeshindwa kuuchagulia akiwa na hekima atakuelewa na kukupa hongera. Inashangaza sana yaani hutaki hata kumuacha mume wa mwenzio , wewe inabidi ukigundulika upewe fundisho ili usirudie tena. Kama mwenye mume ni mkorofi na anaishi dar basi subiri uionje chungu yake.Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda