Niko njia panda

Dada white nilishagraduate ila sikusoma hiyo university uliyoitaja acha kupaka matope vyuo vya watu stick kwenye mada ni vyuo kibao vinatoa degree za 4 years
wewe utakuwa ulisoma chuo cha kata kama Ruaha university.HUJUI KUREASON.hata mwanangu anaesoma baby class anakushinda reasoning
 
Ninaona mpenzi, ila si unajua heshima huja kwa kuanza kuheshimu wengine...halafu pia huja kwa wale wote ambao hawapo NJIA PANDA

cc: watu8 unaona ninavyheshimika humu ndani lakini !!!!!!!
Sijambo mfalme wangu habari yako baba
 
Wewe fikiri kuhusu POSSIBLE na IMPOSSIBLE things.......Hivi wewe kweli umemaliza chuo au ulidisco.....Hilo la kumwambia mkewe ni IMPOSSIBLE THINGS haiwezekani naapia vile.
Anajua alichomfanyia huyu mwanaume.ndiyo maana anajiamini kwenye hili
 
Nimekuwa teeejaaa..tena wa mapenzi...nimebwia unga ooh sijiwezi.....
ngoja siku likutokee puani
 
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu

Je huyo mwanao utakayemzaa akifanyiwa kama unamvyomfanyia mke wa huyo hawara wako utafuria kweli wewe?du wanawake.
 
we dada hebu fikiria uko kwenye ndoa yako halaf ukagundua kuna mtu anatoka na mmeo utajisikiaje? kwa kifupi dada achana na mme wa watu haijalishi umezama kias gan maana huo ni ujinga unaoendekeza
 
Ngoja nikuambie ndugu, heshima ya mtu huja pale tu mhusika anapoheshimu wenzake pia.
Wewe sidhani kama unaelewa neno heshima maana umeshindwa kumuheshimu mwanamke mwenzako,
Kimsingi ni kwamba umekosa maadili na mbaya zaidi huoni kama ni kosa kuendelea kufanya UASHERATI na mume wa mtu,
.......I aint gonna chill down unless you come up into your senses buddy!!!....

Take a chill pill dude i respect you
 
Kaka umeniamsha usingizini japo hutalala wewe.
Hawa watoto wadogo hatari sana.sijui anatoka mkoa gani ila nahisi anawaza jinsi ya kurithi MALI za huyu jamaa. Na huyu jamaa hajui kama kwa sasa anaangaliwa kama marehemu mtarajiwa.
 
nini maana ya kupoteza muda wa kaka wa watu,bidada jielewe bhana haiwezekan utoke na mme wa mtu ka vile mali yako.Tafuta wako umiliki
 
Watu8 nimekupata asante, mie sijamfanyia lolote huyu mume wa mtu na wala siamini katika hizo mambo na sitoki kwenye kabila ambalo wanawake huua wanaume mali zake hazinihusu na wala sizihitaji tulipoanza hatukudhani tutafika tulipofika kama ni mali hata mie natafuta zangu kwani nami naern kutokana na profeshen yangu and its enough for me
 
Huyo mpenzi wangu hayupo nchini kwasasa hivo siyo kwamba nawachanganya

hata kama yupo nje ya dunia
lkn kama anaweza kurudi hapo unawachanganya tu!
Mwambie tu mtoto wa watu kama hasira/uchungu uhushie hukohuko tena ajue moja aanze kujitafutia mtu huko huko aliko
unaweza kuta mtu kavumilia mda mrefu anakuheshimu anakutana vikwazo kibao vya KE wazur kuliko hata wewe lkn hajawaza sawa sawa na ulivyomfanyia wewe .......!! Hakika wanawake mna kavu ka za mbao na mna siri nyngi mh!!

my take: kutembea na mke wa mtu ni dhambi na kumsaliti mchumba ako dhambi
sasa malalamiko ya hawa watu wa 2 wakianza kukulalamikia na laana zikakuangukia
na mwanaume asiye care na familia yake akakuacha kwa aibu au mkafumaniwa unayesema
huwez kumuacha
ila na wewe usiumie moyoni na hilo unatakiwa kujua tu kuwa
the end is near!!!
 
Back
Top Bottom