Niko njia panda

Niko njia panda

ushauri wa nini wakti umeshasema kwenye hiyo aya ya mwisho kuwa kumuacha mume wa mtu huwezi. ok hii dunia inapita na mambo yake yatapita. ila siku mke wa jamaa akikujua ndo utajua kwanini biblia ilisema uwe na mke/mume 1. maana mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Hii ni hatari dada yangu vipi future yake kindoa? Huyo ni shetani mshinde otherwise u will regrate the whole part of remaining life.
 
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough

ushamwambia brfnd kwamba imekula kwake asongeshe na maisha yake?
 
Yaan mkuu hawezi kukuelewa hapo alipo, mm nina experience fmr my hubby. Wanaume nimewarespect kuliko kiumbe

chochote dunian. unajua alikuwa anatetea ndoa yake icvunjike..kama hana akili nzuri. Binti wa 23 yrs alikuwa

anachambuliwa kama karanga. the worse aliposema najishangaa huwenda binti aliniroga! Na mm nikawa na divide and

rule..yule binti nilipomsimulia hakuamini kama mwanaume aliyemwambiaga anampenda leo anamtusi..nikamwambia

chezea mume wa mtu ww. Mume avunje ndoa ya miaka 5/7 na watoto kwa ajili ya mtu ambae hamjui, hajui familia yk,

ukoo wake, n.k thubutuuuu.

laiti kila mdada/mwanamke angelijua kuwa waume za watu ni wasanii kuliko wasanii wowote wale chini ya jua, huko wataambiwa ya kuambiwa but mwisho wa siku anarudi kwa mkewe, hamuwaulizagi maswali ya ziada jamani? kwamba akisema hampendi sijui hivi na vile, kwanini msiwashawishi wawaoe sasa nyie mliopendwa? mnaishia kuzalishwa na kuachwa tu.
 
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough

......decent man who cheats on his wife.......
endelea kuenjoy mwaya, pengine ni miwivu inatusumbua wengine!!!!!!!!!!
 
Tulipima kabla ya kuanza kuhaves3x

uzuri wa kuwa na mume wa mtu na kucheza peku, you need to trust sio hawara yako tu bali na mke wake pia; otherwise ni kamtandao rafiki.
 
kweri ule utamaduni wa kuwapeleka watoto unyagoni una umuhimu wake, sasa ona aka katoto kanashabikia umalaya wake,,, nyambafu kabisa wewe mtoto,, una miaka 24 unadandia waume za wenzio hivyo je ukifikisha umri wa 40 wewe mtoto sijui utakuaje yani???? azote teteeni unyago kwa hivi vimalaya au muwafunze humu jamvini

Akifika 40 atakuwa shuga mumy nashangaa anaomba ushauri wa nini na huku katoa uamuzi wake wa mwisho huu umalaya wa namna hii unakera.
 
mijianamke mingine bwana hasara tupu huwez mwacha then y are you seeking 4 advice????????? Nenda akakuoe then utajua kinachofwata
 
kuna novel moja nilisoma inaitwa irresistible forces nahisi iliandikwa kwa ajili yako,
 
kama huyo mume wa mtu ni muislamu au ana fuata mia ambazo zinaruhusu polygamy basi mwambie akuongoze uwe wa 2
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last

Kaulize wanaishi maisha gani ndio ujue kutangulia siyo kufika. Umeunga trela mbovu yenye heartache na low esteem kwa mtoto utakayemzaa
 
kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough
decent man??sio decent asingefanya upuuzi huo,nawewe unafurahia kabisa duu,decent halafu anafanya hayo,hata huko kazini sizani kama anaperforme??kweli kweli dada unaona ni sahihi hayo kweli?embu tafakari maisha yako mi sidhani kama unajua unachokitaka.
 
mtakaliaga hayo hayo na digital wenzenu tumeshawazika na wengine wapigwa wamechomwa na pasi za makalio kwa kufumaniwa na Me/Ke za watu!!
Hao analog ndo zilipendwa wako taratibu na ndoa na maisha yao.
Kama dgital imetoka ktk vifaa mmeiamishia ktk maisha ya wanadamu, serikali imeamishia mitambo yake dgtal na nyie mnahama?
Shame on u!!!!!!!

ah mume/mke wa mtu kitu gani bana
 
isingekuwa mume/mke wa mtu ,so ni kitu ,mhhhhhh.

sijamaanisha sio kitu.

nina maana kwamba kutoka na mme/mke wa mtu sio big deal bwana.

mi mwenyewe mke wa mtu , na mume wangu anatoka na mke wa mtu na mwenyewe pia najirusha na mume wa mtu mwingine pia.

i dont see why people make a big deal out of nothing
 
laiti kila mdada/mwanamke angelijua kuwa waume za watu ni wasanii kuliko wasanii wowote wale chini ya jua, huko wataambiwa ya kuambiwa but mwisho wa siku anarudi kwa mkewe, hamuwaulizagi maswali ya ziada jamani? kwamba akisema hampendi sijui hivi na vile, kwanini msiwashawishi wawaoe sasa nyie mliopendwa? mnaishia kuzalishwa na kuachwa tu.

ndo maana mie nikasema watuachie sisi wake za watu bwana.

mume wa mtu wake mke wa mtu bana, sasa nashangaa hivi vitoto vinaingilia nyumba za watu hata majukumu ya kimaisha hawajui
 
decent man??sio decent asingefanya upuuzi huo,nawewe unafurahia kabisa duu,decent halafu anafanya hayo,hata huko kazini sizani kama anaperforme??kweli kweli dada unaona ni sahihi hayo kweli?embu tafakari maisha yako mi sidhani kama unajua unachokitaka.

wewe kweli mtoto, kwa taarifa yako utakuta haka katoto ndo kanamuondelea stress kwahiyo perfomance inaongezeka kazini,
 
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.

Uko njia panda ya kwenda wapi? Kutesa wengine? Maana wewe ni mtesaji uliyekubuhu! Kwanza unamtesa huyo mke wa mtu uliyemwibia mume wake, unawatesa watoto wa huyo mume bila huruma, cha kusikitisha ni huyo boy wako ambaye anakuamini na kukupenda akijua ana mpenzi mwaminifu kumbe kibaka tu wa mapenzi. Sio kweli kwamba unaogopa kumuumiza huyo boy wako, umeshamuumiza hitimisha tu kwa kumwambia mapenzi yako kwake yameisha ili atibu majareha na kutafuta pengine mapemaaaaaa kuliko kumpotezea muda.

Kumbuka za mwizi ni arobaini, subiri ushikwe kwa kudandia waume za watu. Ningekushauri uachana na huyo bwana haraka iwezekanavyo lol!
nakala kwa Watu8
 
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough

Kweli sikio la kufa halisikii dawa binafsi nilisema tukuache kukulaumu may be umeshasikia! niliposoma hicho hapo juu napata shida sana na IQ yako,unatamba na jana kalala kwako? umelogwa nanani wewe dada kumganda mme wa mtu kama papasi na bado unarudi kutuambia upuuzi huu....basi wewe utakuwa ni malaya uliyekubuhu mwingine kama ndo alikuwa anaanza tabia hii angesoma post zote hizi angelia kabisa na kukaa mbali na mme wa mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom