Tatizo ukweli umekuwa chuki na vitu ambavyo hatupaswi kuvisikia ndio tunaambiwa 24/7 huku tunachekelea.. Na vile tunavyopaswa kupigania kuvisikia ..tunavifungia masikio.Pambana Na Hali Yako
WivuAnaimbaga Pumbaaaaaaaa, ingekuwa siyo kubebwa kichuga chugaa wala tusingemjua
Watu wanaangalia pesa, nyinyi mnaleta ushabiki maandazi. Yule mtoto wa Kichagga anatafuta pesa yake na maisha yake. Kuwa na elimu na kuwa na IQ kubwa ni vitu viwili tofauti pambana na hali zenuHahahahahaaa aiseee kuna watu na viatu. Imewaumaaa eee yule mliyedhan jembe la ukawa kageuka shoka la serikali duh
Hivi wachagga huwa inapita siku bila KUJISIFIA Uchagga ??!!Watu wanaangalia pesa, nyinyi mnaleta ushabiki maandazi. Yule mtoto wa Kichagga anatafuta pesa yake na maisha yake. Kuwa na elimu na kuwa na IQ kubwa ni vitu viwili tofauti pambana na hali zenu
Niki akili ndogo Sema ruge humgeuza fursa kukaa pale mbelenick wa pili hata mimi simuelewagi.. anaongeaga sana kuhusu fursa ila anachofanya hakionekani..
hivi ana hata genge kweli??
diamond hata form 4 hana.. ila anayoyafanya tunayaona kampuni nzuri wcb.. ajira kibao ametoa na bado wasafi fm, na wasafi tv nazo njiani... na hana maneno mengi bali vitendo vingi
Kajaa sifa za kijinga kwa mtu mwenye akili timamJamaa kajaa sifa ila akitulia atafanya makubwa
Mkuu mi naskia amesoma social science Sasa sjui Ni upande gani kwasabab social science zipo nyingi hata watendaji wa kijiji wanaingia kwenye hiyo kozikuna post instagram alisema hakuna mahali duniani utapata elimu inayofundisha jinsi ya kuishi na watu kwenye jamii ....hii hoja ndo nilipoanza tia shaka elimu yake,.
sociology inadili na nini kwani?