Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

Watu wanaangalia pesa, nyinyi mnaleta ushabiki maandazi. Yule mtoto wa Kichagga anatafuta pesa yake na maisha yake. Kuwa na elimu na kuwa na IQ kubwa ni vitu viwili tofauti pambana na hali zenu
Nawewe utakuwa kundi la Niki ujuaji mwingi mbele giza
 
Niki anajipendekeza sana kwa clouds, yaani kuna media anazokuwa anabagua kwakifupi ana ji do yeye ndio the best educated artist kumbe wapo wakali zaidi yake
Mkuu educated wapi?
Na HKL yake
Mbna kina Roma amepiga computer science ila yupo consusios tu
 
Chuga wenyewe siku hizi wanamwita mshamba
Chuga ukiitwa mshamba ujue wamekudharau sana
Chuga Wap wanamuita mshamba na wanimpact gani wakimuita hilo jina..
My friend ni vema ukageuzia hizi nguvu zako za kumchukia jamaa katika mapambano ya uminywajwi wa haki za vyombo vya habari
 
Back
Top Bottom