Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

Pambana Na Hali Yako
Tatizo ukweli umekuwa chuki na vitu ambavyo hatupaswi kuvisikia ndio tunaambiwa 24/7 huku tunachekelea.. Na vile tunavyopaswa kupigania kuvisikia ..tunavifungia masikio.

Tuko hapa (as humanity) kwa sababu smart people stopped talking...na dhana ya no child left behind. Niamini if we were honest kuna watu hata ku-quote JF wasingeruhusiwa.. Kwa sababu uelewa wao ni Mdogo sana ku-comprehend issues!

Hayo mambo sijui pambana na hali.ya nini. Ni mautoto tu. Misemo ya kijuha. Ukiona hoja unajibu na hoja. Perhaps ulichoki-quote kinahusika;!
 
Hahahahahaaa aiseee kuna watu na viatu. Imewaumaaa eee yule mliyedhan jembe la ukawa kageuka shoka la serikali duh
Watu wanaangalia pesa, nyinyi mnaleta ushabiki maandazi. Yule mtoto wa Kichagga anatafuta pesa yake na maisha yake. Kuwa na elimu na kuwa na IQ kubwa ni vitu viwili tofauti pambana na hali zenu
 
nick wa pili hata mimi simuelewagi.. anaongeaga sana kuhusu fursa ila anachofanya hakionekani..

hivi ana hata genge kweli??

diamond hata form 4 hana.. ila anayoyafanya tunayaona kampuni nzuri wcb.. ajira kibao ametoa na bado wasafi fm, na wasafi tv nazo njiani... na hana maneno mengi bali vitendo vingi
Niki akili ndogo Sema ruge humgeuza fursa kukaa pale mbele

Sinajua wa Tanzania wakimuona msanii
 
Tofautisheni mziki na social madia.
Kimuziki anafanya vizuri kwa kadri ya uwezo wake, ila tweets and the like labda haziko vizuri.
 
Pamoja na kuwa na elimu ila hajui kuandika..Tweets zake zina mapungufu makubwa kiuandishi..kwenye neno linaloanza na 'a' anaweka "ha"..Anachanganya "r' na "l"..Pili hajui kutenganisha sentensi au kutumia commas, nukta n.k
Unaposoma tweets unaweza kupata maswali kama elimu ilikuwa mubashara au bora liende na mwisho wa siku kwenye karatasi inasomeka PHD..
 
kuna post instagram alisema hakuna mahali duniani utapata elimu inayofundisha jinsi ya kuishi na watu kwenye jamii ....hii hoja ndo nilipoanza tia shaka elimu yake,.
sociology inadili na nini kwani?
Mkuu mi naskia amesoma social science Sasa sjui Ni upande gani kwasabab social science zipo nyingi hata watendaji wa kijiji wanaingia kwenye hiyo kozi
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom