Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

Wabongo ambao hamsomi vitabu vya anti-neo colonialism, pan africanism,history of Africa from the African,hamuwezi kumuelewa kamwe.

Niki lazima itakua kasoma Isis Papers cha Dr Frances Cress, African origin of civilii,a myth or reality cha Cheikh Anta Diop,wasomi waafrika kina Dr Van Sertima,Walter Rodney,Dr Ben Jonachann,na wengine wanaoendana nae lazima mumuone Nikki amechanganyikiwa sababu tu analeta mawazo mbadala dhidi ya yale mliyoyaamini tokea mmepelekwa shule na kukaririshwa elimu na wazungu.
Mie Nikki namwelewa sana na pia mimi watu wengi tu wananiona wa ajab ajab nikianza kuongelea haya mambo,yaani mpaka mama mzazi nae hanielewi so Nikki kokote uliko endelea kula nondo mzee.
 
Pamoja na kuwa na elimu ila hajui kuandika..Tweets zake zina mapungufu makubwa kiuandishi..kwenye neno linaloanza na 'a' anaweka "ha"..Anachanganya "r' na "l"..Pili hajui kutenganisha sentensi au kutumia commas, nukta n.k
Unaposoma tweets unaweza kupata maswali kama elimu ilikuwa mubashara au bora liende na mwisho wa siku kwenye karatasi inasomeka PHD..
Kama hiyo ndiyo IQ bhasi wewe una ndogo zaidi kuliko yeye
 
Kama unachuki binafsi, ni heri useme tu, mie namwona yuko poa, kusoma haina maana utawazidi binadamu wengine, kila mtu anafasi yake
6ca65286f48ff84d1e2922dffbc05910.jpg
 
nick wa pili hata mimi simuelewagi.. anaongeaga sana kuhusu fursa ila anachofanya hakionekani..

hivi ana hata genge kweli??

diamond hata form 4 hana.. ila anayoyafanya tunayaona kampuni nzuri wcb.. ajira kibao ametoa na bado wasafi fm, na wasafi tv nazo njiani... na hana maneno mengi bali vitendo vingi
Kusoma sio kufanikiwa mkuu ingekuwa hivyo wasomi wote wangekuwa matajiri
 
nick wa pili hata mimi simuelewagi.. anaongeaga sana kuhusu fursa ila anachofanya hakionekani..

hivi ana hata genge kweli??

diamond hata form 4 hana.. ila anayoyafanya tunayaona kampuni nzuri wcb.. ajira kibao ametoa na bado wasafi fm, na wasafi tv nazo njiani... na hana maneno mengi bali vitendo vingi

Maisha yangu yote mpaka nakufa siwezi kumsikiliza mtu yeyote anayehubiri ujasiliamali ilhali yeye sio mjasiliamali.

Niki anajipendekeza sana kwa clouds, yaani kuna media anazokuwa anabagua kwakifupi ana ji do yeye ndio the best educated artist kumbe wapo wakali zaidi yake

Mkuu hana cha kufanya

Ndo kama hivyo anajipendekeza apate shoo maisha yaende

Niki akili ndogo Sema ruge humgeuza fursa kukaa pale mbele

Sinajua wa Tanzania wakimuona msanii

Ruge mjanja mpaka kesho

Pamoja na kuwa na elimu ila hajui kuandika..Tweets zake zina mapungufu makubwa kiuandishi..kwenye neno linaloanza na 'a' anaweka "ha"..Anachanganya "r' na "l"..Pili hajui kutenganisha sentensi au kutumia commas, nukta n.k
Unaposoma tweets unaweza kupata maswali kama elimu ilikuwa mubashara au bora liende na mwisho wa siku kwenye karatasi inasomeka PHD..
 
Hahahahahaaa aiseee kuna watu na viatu. Imewaumaaa eee yule mliyedhan jembe la ukawa kageuka shoka la serikali duh
Sifikirii kama unavyofikiria mimi

Niki sijawah kumuelewa toka day one mpaka Sasa
Kuanzia kwenye mziki hadi mambo mengne Mengi

He is too low, empty, not a great thinker

Sjawaza ukawa mimi, mbna nimemtolea mfano fid Q na yeye Ni mwanaccm

Naongelea kwa nafas yake kama msanii na msomii Je Unaweza kumtofautisha na kina dogo janja ambaye kaishia la saba?
Niki Ni mweupe sana
 
Binadamu mnachuki sana. Et ana IQ ndogo
Msanii aliyejitahdi bila kubweteka na kuongeza elimu yake ni sifa kubwa. Anachukua PhD soon nadhani hata baba yako hana wala mtu yoyote kwenye familia yako
Elimu yake imemsaidia nini ??? Hana lolote tuko nae Sinza hapa kapanga....

MTU jivunie digits number ulizonazo Kwenye account yako Benk na sio idadi ya degree huo ni uzwazwa.
 
Back
Top Bottom