Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

Watanzania wengi Sana wanafiki wakubwa
Ukiisifia serekali wanakuitwa mchumia tumbo
Mh magufuli naomba uongeze speed yakubana matumizi nakubana Sana ili watu wafanye kazi
Italeta Heshima nidhamu utii
 
Kuna post ya Maria Sarungi inayozungumzia kutangazwa kwa habari za convicted rapists (Babu seya na mwanae) kusamehewa na habari ya Tundu Lissu.

Sasa Nikki wa Pili kadakia na kuanza kulaumu media kama CNN na BBC zinavyochochea machafuko na kuhamasisha unyonyaji. Mashambulizi anayopata huko si salama kwake.

Watu wanampiga kwa fact mpka anakosa cha kujibu na kuishia kuwaambia wajenge hoja wakati hoja zimejengwa akawa ana wayawaya tu.
Unaleta habari za mtaani kwako na kuandika utadhani wote ni wakaazi wa hapo Kwenu! Andika maelezo ambayo kila mwana JF ataelewa. Kama ni mambo ya msimbazi na jangwani yantuhusu nini sisi tulioko Serengeti?
 
Mimi mpaka sasa hivi sijatia chochote tumboni, duuuh, huu nadhani ni mwaka wangu kupata vidomda vya tumbo kwa njaa.
 
Kuna post ya Maria Sarungi inayozungumzia kutangazwa kwa habari za convicted rapists (Babu seya na mwanae) kusamehewa na habari ya Tundu Lissu.

Sasa Nikki wa Pili kadakia na kuanza kulaumu media kama CNN na BBC zinavyochochea machafuko na kuhamasisha unyonyaji. Mashambulizi anayopata huko si salama kwake.

Watu wanampiga kwa fact mpka anakosa cha kujibu na kuishia kuwaambia wajenge hoja wakati hoja zimejengwa akawa ana wayawaya tu.
Huyu dogo ni Nanga sana
 
Back
Top Bottom