Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
safi sana Lissu, anazidi kuwapeleka watu puta hawalali wanamuwaza yeye tu.
Hongera Lissu endelea kuanika maovu yao
 
Hivi mkuu huna shughuli za kufanya ? muda wote wewe na simu?
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
Mapokeo hasi kutoka kwa Watanzania au mapokezi hasi kutoka kwa wana-Lumumba baada ya kuona kubwa la Lumumba, KADIKTETA UCHWARA kamelipuliwa LIVE bila chenga!
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea.
Wenye akili wote walishafahamu kwamba kubweka kule kwa Ndugai ni maelekezo kutoka juu kama njia ya kumtisha Tundu Lissu asiendelee kubaki ughaibuni na kuieleza dunia ukweli kuhusu PETTY DICTATOR!

Hata hivyo, kwa wanayemfahamu Lissu sio wa kutishika na vitisho kutoka kwa Dhaifu Job Ndugai
 
Mapokeo hasi kutoka kwa Watanzania au mapokezi hasi kutoka kwa wana-Lumumba baada ya kuona kubwa la Lumumba, KADIKTETA UCHWARA kamelipuliwa LIVE bila chenga!
Wenye akili wote walishafahamu kwamba kubweka kule kwa Ndugai ni maelekezo kutoka juu kama njia ya kumtisha Tundu Lissu asiendelee kubaki ughaibuni na kuieleza dunia ukweli kuhusu PETTY DICTATOR!

Hata hivyo, kwa wanayemfahamu Lissu sio wa kutishika na vitisho kutoka kwa Dhaifu Job Ndugai
Yaani Lissu aogope kuvuliwa ubunge amekuwa Lissu au Mwita Waitara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom