cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nahisi uzee unaninyemelea, yaani nilikuwa napenda Hiphop huniambii kitu, hawa kina Diamond nilikuwa nawaona machoko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujitoa kwake hakuwapi waliobaki haki ya kumdiscuss.Alijitoa mwenyewe kwenye group, sasa ukijitoa mwenyewe yanini ufuatilie tena wanaokuongelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wana mnamdiscuss mtu kwenye group? Wana mnamteta mtu?Yaani mkuda kweli kweli Mimi nilishangaa sana ana tabia za kikekike
Wana wakikuchana unatulia boli huitaji kutafuta huruma kwa jamii huo ndio usela
Ila ile staili yake ya kishambenga na kisela mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani, wana hawamteti mtu.Wana hawafai kuwa na tabia za kimama za kuteta
hata kama ni kweli kuwa Nikki alifanya p aende SA mwaka Jana isiwe sababu ya p kukaa kimya pale anapochokozwa na Nikki kimakusudi,huwezi ukanisaidia halaf eti niendelee kukurespect wakati ww unanidisrespect na unadisgrade my dignity in public,diss ya p ni reply kwa dharau za Nikki kwa p,hivyo kivyovyote p was and is right coz yy kajibu,hajaanzisha mashambulizi,,,,,,, Nikki asithubutu kuujibu huu mkwaju,futi sita ni balaa kwake jomba,et kagombana na kila mtu kwny tasnia,malalamiko kibao ka mtoto asiye na mama,,,,,,,,,,, Casper siyo easy ka pindabway (mshikaji wa Nikki)P Mawenge uwezo bado mdogo Nikki mbishi ndo kamfanya aende south Africa mwaka Jana....sasa nashangaa anapomuweka kwenye kaburi la Futi sita....Unju nakushauri huyu dogo mpatie diss track moja akae kimya.
hata kama ni kweli kuwa Nikki alifanya p aende SA mwaka Jana isiwe sababu ya p kukaa kimya pale anapochokozwa na Nikki kimakusudi,huwezi ukanisaidia halaf eti niendelee kukurespect wakati ww unanidisrespect na unadisgrade my dignity in public,diss ya p ni reply kwa dharau za Nikki kwa p,hivyo kivyovyote p was and is right coz yy kajibu,hajaanzisha mashambulizi,,,,,,, Nikki asithubutu kuujibu huu mkwaju,futi sita ni balaa kwake jomba,et kagombana na kila mtu kwny tasnia,malalamiko kibao ka mtoto asiye na mama,,,,,,,,,,, Casper siyo easy ka pindabway (mshikaji wa Nikki)
Nash Mc bado kwenye kiwango kizur anakimbza na ngoma yak- naenda kamaSikunyingi nimeacha kufatilia Hiphop ya chimbo (underground), zamani ngoma za Tamaduni wazee wa Kilingeni zilikuwa hazinipiti, yaani gheto ni Hiphop kwa kwenda front tena zile zenyewe sio hizi Mainstream, naona uzee unagonga hodi, sikuhizi eti namshabikia Diamond na wabana pua wenzakekweli maisha yanabadilika, vipi Nash MC uchebe anaendeleaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ningekuwa ndo Nikki Mbishi baada ya kutoka group nisingekuwa na muda wa kufatilia wanaonidiscuss (huo ndo uanaume, na hata kama nikipewa taarifa za wanaonidiscuss either ningewapigia simu kuwachana au ningewapotezea, kitendo cha kuweka screenshot mtandaoni ndo ukuda huo. Ndio wamefanya kosa kumdiscuss, lakini kitendo cha yeye kuweka screenshot mtandaoni akiexpose na namba zao ni too muchKujitoa kwake hakuwapi waliobaki haki ya kumdiscuss.
Mtu amejitoa kwenye group lenu, ina maana hana "common interests" na mliopo kwenye group, badala ya kufanya kilichowafanya mkutane kwenye group lakibi bado mnaendelea kumdiscuss aliyejitoa kwenye group lenu, hiyo ni "backstabbing" mkongwe. Kwa mtazamo wangu hao waliobaki kwenye group wana umama uliopitiliza.
Hoja ya msingi ni kuwa wote wamezingua. Hao wa kwenye group wamefanya "umama", Nikki Mbishi amefanya "utoto".Mi ningekuwa ndo Nikki Mbishi baada ya kutoka group nisingekuwa na muda wa kufatilia wanaonidiscuss (huo ndo uanaume, na hata kama nikipewa taarifa za wanaonidiscuss either ningewapigia simu kuwachana au ningewapotezea, kitendo cha kuweka screenshot mtandaoni ndo ukuda huo. Ndio wamefanya kosa kumdiscuss, lakini kitendo cha yeye kuweka screenshot mtandaoni akiexpose na namba zao ni too much
Sent using Jamii Forums mobile app
Nick mbishi nimemvulia kofia kaja kitofauti na watu walivyotegemea nimependa Sana ubunifu aliyotumia.Nimependa Sana ngoma yake
Hao wanaomdiscuss kijana mwenzao kwenye group ndio wenye mambo ya kiume boss?
Huyu Nikki Mbishi ni "mtu" kama "watu" wengine tu mzee wa kazi, usisahau jambo hili. Kuwa msanii hakumfanyi jamaa kuwa Roboti.Huyu nikii wa sasa hana tofaut na Juma lokole. Kutwa kuchambana insta. Namshauri asijiite tena mbishi.
Huu muda anaopoteza kupost sjui convo za wanaomdiss ni kheri angejifungia studio akafanya mixtape yenye diss track akatengeneza pesaa.. hiki ndio kitu mashabiki tunataka.. sio u-toa- mbwer anaoendelea kufanya..
Siku zote yuko hivyo, nakumbuka hata enzi hizo namfatilia Facebook alikuwa mtu wa shit sana, anatukanana na mashabiki,..hana ustaarabu, though this time naona amekuwa too muchHuyu Nikki Mbishi ni "mtu" kama "watu" wengine tu mzee wa kazi, usisahau jambo hili. Kuwa msanii hakumfanyi jamaa kuwa Roboti.
Kila mtu huwa anapata muda wa kufanya "upuuzi" mzee, even Nikki Mbishi. Hizo "mixtapes" atatoa tu, wala usijali.
SITETEI anayoyafanya, lakini sina haki ya kumnyooshea kidole pia.
Hao wanaomdiscuss kijana mwenzao kwenye group ndio wenye mambo ya kiume boss?
Kujitoa kwake hakuwapi waliobaki haki ya kumdiscuss.
Mtu amejitoa kwenye group lenu, ina maana hana "common interests" na mliopo kwenye group, badala ya kufanya kilichowafanya mkutane kwenye group lakibi bado mnaendelea kumdiscuss aliyejitoa kwenye group lenu, hiyo ni "backstabbing" mkongwe. Kwa mtazamo wangu hao waliobaki kwenye group wana umama uliopitiliza.