Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
2,211
2,000
Wakuu habari zenu,

Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss Nikki mbishi

By the way P amemchana sana Nikki nasubiria comeback ya Nikki Mbishi


One love
 

Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
2,211
2,000
Baadhi ya posts zao
Screenshot_20200504-200750.jpg
Screenshot_20200504-200803.jpg
Screenshot_20200504-200818.jpg
Screenshot_20200504-200916.jpg
Screenshot_20200504-200925.jpg


One love
 

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
22,098
2,000
Nikki mbishi anabeef na mtu yoyote tu.

By the way beef hii nimeipenda watu wanaingia studio hawaishii kusutana twitter.
Beef za biashara kwenye mkito, booomplay, you tube nk ndiyo zinatakiwa.
Nikweli mkuu huyu nikki karibia kila mtamaduni pale kaishawahi kuzinguana naye

Alishawahi kua na bifu na godzilla japo godzila naye alikua mtata kama yeye hasa katika ile bifu yake na wakazi. Miezi kadhaa iliyopita nikki alikorofishana na wakazi ila washapatana
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
57,121
2,000
"uwepo wangu kwao ni bonge la crisis,mzee wa kujilipua kama mfuasi wa ISIS."
na kweli unju anajilipuaga sana huyu mchizi...😂😂😂baizewei hiphop ya bongo siku sio nyingi itageuka kuwa na mahadhi ya taarabu kama wanahiphop wenyewe ndo hawa kupashana daily kweny track na social media nk... NONSENSE
Hip hop ni michano since day one, kabla hata taarab ya kwanza haijarekodiwa.
 

Bossprota

Senior Member
Jul 16, 2015
167
225
Kwenye hii bifu nikkimbish kachukuliwa negatively coz ndo kawaida yake japo p the mc kamnyoosha ukchanganya na huruma yamashabiki ndokabisa yaaan ongeza now nawakazi kama kajiinclude ndan hapo bifu imekolea zaid
 

FirstClass

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,014
2,000
Tulimiss sana vitu km hivi.. nataman sana hii bifu
Wakuu habari zenu,

Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss Nikki mbishi

By the way P amemchana sana Nikki nasubiria comeback ya Nikki Mbishi


One love
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom