CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 23,001
Nenda Hardware nunua Cable Trunking,we wambie wakupe trunkingMkuu CONTROLA ebu tupeane mbinu zakuficha hizo nyaya hasa kwa Tv iliyotundikwa ukutani
Zipo aina nyingi kwa size kulingana na wingi/unene wa wire unaopitisha ndani
utachagua utakayoipenda wewe kulingana na ukuta/rangi/wallpaper yako
kisha utaenda hom kuficha nyaya zote ndani ya hiyo trunker yako ulonunua.