Wapi naweza pata kifaa/mashine ya kuchajia betri za magari na kwa bei gani?

Mbikiboy

Member
Feb 15, 2019
90
86
Salamu wadau!Tafadhali,wapi naweza pata kifaa/machine ya kuchajia betri za magari hapa Dar na kwa bei gani?Nataka nikafungie kijiwe cha kuchaji betri huko kijijini misaidieni.
 
Back
Top Bottom