Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Wakuu nina plan ya kununua PARTY BOX kwa ajili ya kuwa nafanyia outdoors functions kwenye eneo la wazi linaloweza kubeba watu 80-100

Kwa research ndogp nliyofanya brand ninazozipa kipaumbele ni JBL,SONY NA PANASONIC

Je kwa bajeti ya Tzs.1,200,000/ ni party box ipi inaweza nifaa kati ya hizo brand nilizotaja.Na kama kuna mbadala wa aina nyingine ya muziki ambao utanifaa tofauti na party box mnaweza nipa mawazo

Cc Extrovert na wadau wengine ushauri wenu tafadhali.

Ukubwa wa sound angalia tu watt ngapi?

Watt 600, 1000, na kuendelea huko ndio sounds nzuri .

Ukubwa wa mziki tunaupima hapo tu , wewe nunua brand yoyote hapo ila mimi nitakuuliza watt ngapi? Nikikuta watt 300 ,nitakudharau hapo nitaona haikiti sana hiyo.
 
mhhh wewe.

unajua kama soundbar nyingi zina watt 300 mpaka 600 tu??

usijichanganye.
 
Back
Top Bottom