Nikituma message yenye neno sex message inafeli lakini nyingne zote zinaenda

Kuna update imefanyika au ulienda ktk hiyo parental guide settings bila kwa bahati mabaya. Au kuna mtu alichezea simu yako akaweka on hiyo kitu kama age restrictions n.k.
1. Hamna aliyeshika simu yangu zaid ya mm mwenyewe
2. La ziada ni kwamba nineifanyia Rooting labda hapo ndio inaweza ikawa jipya
 
Wakuu habari zenu,

Kichwa cha habari chahusika. Natumia simu aina ya Tecno nashangaa nikituma msg yenye neno Sex message hiyo inafeli lakini msg zingne zote zinaenda hata niandike nini.

Kuna aliyewahi kukutana na shida kama hii? na je tatizo ni nini? View attachment 515293


Huyo uliyekuwa unamuomba sex mumewe kamuwekea kufuli kotekote, nakushauri achana nae, kichululu kitaben saa nane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom