Nikituma message yenye neno sex message inafeli lakini nyingne zote zinaenda

hiyo simu itakuwa ulipewa na mzaz alaf ameweka app ya parental guide hata zile website za ngono pia zinaweza zisiaccess
i joke,sema badilisha simu tafuta hata samsung kama sio iphone
Mkuu ninachokihitaji kwenye simu nakipata hata kwenye Tecno sina haja ya kununua iphone wala samsung.
 
Kuna kitu kinaitwa spam filter ndani yake kuna spam phrases...
Maybe unayemtumia ameset hicho kitu kwenye simu yake...
Jaribu kutuma kwa watu tofauti uone kama itafanya hivyo hivyo!!
 
Kuna kitu kinaitwa spam filter ndani yake kuna spam phrases...
Maybe unayemtumia ameset hicho kitu kwenye simu yake...
Jaribu kutuma kwa watu tofauti uone kama itafanya hivyo hivyo!!
Nimejaribu kwa namba 3 tofauti inagoma,
 
Kuna kitu kinaitwa spam filter ndani yake kuna spam phrases...
Maybe unayemtumia ameset hicho kitu kwenye simu yake...
Jaribu kutuma kwa watu tofauti uone kama itafanya hivyo hivyo!!

Halahala asije kujaribu kutuma kwa mzazi/mkwe halafu akashangaa kitu kimeenda tiki mbili
 
Kwenye keyboard settings kuna sehem ya kublock offensive words angalia labda hilo neno limeorodheshwa pale
 
Itakuwa kuna sehemu ya ku-set parental guide au age ya mtumiaji simu ndio inayofanya hiyo Profanity filtering.
 
Mkuu imeanza juzi tu hii tabia ya kutotuma hilo neno, Ilikuwa inaenda vizuri tu
Kuna update imefanyika au ulienda ktk hiyo parental guide settings bila kwa bahati mabaya. Au kuna mtu alichezea simu yako akaweka on hiyo kitu kama age restrictions n.k.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom