Nikituma message yenye neno sex message inafeli lakini nyingne zote zinaenda

Mkuu Maalim

Senior Member
May 4, 2017
101
92
Wakuu habari zenu,

Kichwa cha habari chahusika. Natumia simu aina ya Tecno nashangaa nikituma msg yenye neno Sex message hiyo inafeli lakini msg zingne zote zinaenda hata niandike nini.

Kuna aliyewahi kukutana na shida kama hii? na je tatizo ni nini?
IMG_20170527_171824_884.jpg
 
Labda TECNO hawapendi matusi...Hahahaha
Halafu nakumbuka zamani ilikuwa haigomi... sasa nashangaa jana kuna msg nikawa naandika ikawa inagoma, nikawa najaribu kulichanganyia uppercase na lowercase lakini bado ikawa inagoma..nikajaribu kuiwekea mabano lakini bado jaribu kila namna lakini aaawaap
 
Hiyo simu ni shida mkuu, kwa nini hivyo sasa...au ilisetiwa kukataa hilo neno na je kwa mfano mtu akikutumia hilo neno linakuja au..
 
hiyo simu itakuwa ulipewa na mzaz alaf ameweka app ya parental guide hata zile website za ngono pia zinaweza zisiaccess
i joke,sema badilisha simu tafuta hata samsung kama sio iphone
 
Back
Top Bottom