Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

1472991879467-jpg.393480

PICHA KAMA HIZI PIA NI MIONGONI MWA UONGO WA SHETANI KUWAPOTEZA WANADAMU.
SHETANI ALIKUWA MARAIKA SAFI, KUMCHORA AU KUMFANANISHA NA HAYA MADUDE NI KUWAPOTEZA WATU JUU YA SHETANI, WAKATI WAKITEGEMEA NI DUDE LA HATARI LENYE MAKUCHA SURA MBAYA KUMBE YEYE ANAKUJA KAMA KTU MWEMA MTU SAFI KABISA NA KIUMBE MZURI MWENYE UONGO MWINGI NA UPOTOFU WA KIWANGO CHA HALI UYA JUU.

SIUNGI MKONO UWAKILISHO WA SHETANI NA MAJINI KWA PICHA HIZI. JUSTFY
 
No God no Evil.. Be Atheist u wil enjoy your life forever..usijiingize kwenye mambo mawili hapa Duniani. DINI NA SIASA..utakufa bila kuenjoy duniani..wakati ukifa umekufa ndugu..
Unajiita Jacobs urio halafu unajifanya wewe ni atheist. ..si afadhali mshana jr akijiita atheist kidogo italeta maana? ! Japo yeye ni wa Kristo 100%
 
Aaaaaah!!! Ndiyo maana wale Malaika waliwatamani watoto wake wakike!!

Hahahaha aisee dah ile kazi unaweza piga weeeee mwili unachoka lakini abdala kichwa bado kasimama pale ndo raha ya kuchapa
 
No God no Evil.. Be Atheist u wil enjoy your life forever..usijiingize kwenye mambo mawili hapa Duniani. DINI NA SIASA..utakufa bila kuenjoy duniani..wakati ukifa umekufa ndugu..
Kaka dini kilugha maana yake ni mfumo kamili wa maisha na kiistillahi ni mtu kujisalimisha kiukamilifu kwa Mola apasaye kuabudiwa kwa haki.Na katika mifumo ipo iliyo mibovu na mizuri.

Siasa maana yake ni usimamizi mambo katika utaratibu mzuri ajabu wenye kumridhisha Muumba.

Kuna siasa za aina mbili,ya kwanza ni siasa nzuri na ya pili ni siasa ya kishetani,mfano wa siasa ya kishetani ni siasa ya kidemokrasia.
 
Hahahaha aisee dah ile kazi unaweza piga weeeee mwili unachoka lakini abdala kichwa bado kasimama pale ndo raha ya kuchapa
Aaaaaah!!!! Umenikumbusha mbali
Kuna mlinzi fulani wa shule ya wasichana alikufa huku anajiona kwa jumbo hilo
 
Aaaaaah!!! Ndiyo maana wale Malaika waliwatamani watoto wake wakike!!

Sio mijanamke ya siku izi ina vitambi, midomo inanuka papuchi zinanuka mwili umetepeta ukipiga moja tuu hutaki tena

Wanajua kuomba ela tuuuu
 
Halafu ukiwanyima wanaanza kukukejeli
Oooh!!! Uwezi mambo Mara boksa inanuka
 
1472991879467-jpg.393480

PICHA KAMA HIZI PIA NI MIONGONI MWA UONGO WA SHETANI KUWAPOTEZA WANADAMU.
SHETANI ALIKUWA MARAIKA SAFI, KUMCHORA AU KUMFANANISHA NA HAYA MADUDE NI KUWAPOTEZA WATU JUU YA SHETANI, WAKATI WAKITEGEMEA NI DUDE LA HATARI LENYE MAKUCHA SURA MBAYA KUMBE YEYE ANAKUJA KAMA KTU MWEMA MTU SAFI KABISA NA KIUMBE MZURI MWENYE UONGO MWINGI NA UPOTOFU WA KIWANGO CHA HALI UYA JUU.

SIUNGI MKONO UWAKILISHO WA SHETANI NA MAJINI KWA PICHA HIZI. JUSTFY
Nakubaliana nawe japo ndio tulivyozoezwa na ndio maana kuna baadhi ya washika dau wanaomba wengine waishi kama shetani bila kujua kuwa satanism is just a state of mind...!
 
Back
Top Bottom